Insha ya ajali.

Nilirauka rau rau baada ya jogoo. Nilienda bafuni kama maji ilinitiririka tiri tiri iliyokuwa maji baridi shadidi. Nilipomaliza, nilienda kuvaa nguo nilizopendeza sana.

Nilingia sebuleni ambapo niliyanywa chai Kwa mkate iliyokuwa tamu kama asali. Nilipoangalia sana,nilikuwa ninachelewa kwenda kupitia mjomba wangu. Nilitoka nyumbani baraka sana kama chui.

Nilipofika ambapo mlolongo wa magari yalikuwa yakisimama, nilingia Kwa matwana iliyokuwa na nyimbo iliyokuwa na kelele. Ilikuwa gari iliyokuwa inafurahisha wabiria na ilikuwa na picha za wasanii waliojulikana sana Kwa Muziki. N

Na matwana kama hizi yanapeleka abiria Kwa Kasi wasichelewe. Kwa kuwa nilikuwa naona na chelewa ilibidii ni pande gari Hili. Nilikuwa starehe zangu nikisikiliza nyimbo iliyonipendeza mno. Wabiria kujaa , dereva alingia na tukang’oa nanga kwanza safari zetu.

Dereva huyu aliendesha gari Kwa Kasi sana na kuendesha kwake haikuwa vizuri. Wabiria walianza kupiga mayowe wakimwonya dereva huyu Kwa kuendesha kwake. Dereva huyu hakuskiza na hakujali.

Ghafla bin vuu, dereva huyu alijadibu kipita gari linguine na mbele yetu Lori lilitokea na tukagongana na Lori hiyo. Nilivunja dirisha la nyuma nakutoka hapa damu ulikuwa unatirika Kwa miguu zangu kama fereji.

Nilisaidiwa na watu walikuwa Kwa barabara na kukimbizwa hospitali. Hayo ndo nilikumbuka. Lakini baadar niliamka kuona Niko kitanda nyeupe pepepe. Kando ilikuwa daktari aliponiangalia na kunichunguza kama Niko sawa.

Daktari alieleza kwamba nilipofika hospitali nilizirai na akanitibu , na Kwa bahati nilikuwa wa kwanza kuasaidiwa. Aliongeza kusema kuwa wabiria wote pamoja na dereva walikata kamba.

Daktari alipomaliza kueleza, wagwni wawili walijitokeza kujitambulisha kuwa wanafanya kazi Kwa kituo Cha citizen. Niliwaelezea kila kitu na walinihurumia Kwa vile nilipitia Kwa ajali Hili. Ajali kama hizi zilikiwa TU za magazetini na runingani. Ilikuwa mara yangu ya kwanza kushuhudia hayo yote.

Similar Posts