Insha ya barua kwa mhariri mfano.

Barua kwa mhariri.

FRANCIS ELIOT

S.L.P 23556, 29/01/2020.

GAZETI LA TIMBO,

S.L.P 406 – 1374.

NAIROBI.

Kwa mhariri.

MINT:AJALI ZA BARABARANI.

Kulingana na tarakimu iliyotolewa na wizara ya uchukuzi nchini, inasemekana kuwa kadri ya waja elfu tatu themanini wamewaza kusafiri jongomeo. Hii ni nambari kubwa sana kulingana na nambari za mwaka uliopita.

close up photo of person using book for the visually impaired
Photo by Eren Li on Pexels.com

Ni bayana kuwa hii nchi kwa sas ana yaliyomfika mataka jamvi kwani wengi wameweza kujisalimisha kwa ajali nyingi za barabara zimechangiwa na hali tofauti tofauti. Kiegezo kikuu ninachowezesha hali kudoofika zaidi ni kutomakinika kwa madereva na hata wanaotumia barabara. Wengi wa madereva na hawa hupiga maji usiku kucha na baadaye kuekea maegeshono palipo magari yao ya kifahari na kuyatwaa magari hayo na kujitia hamnato kuwa wako shwari.

Wengi wao hawafiki mbali kwani mtindi waliopiga hawashauri na baadae magari yao kuenda mzahulani. Ni bayana na macho wazi kuwa ilani hutolewa kila kuchwa kuwa anayelewa chopi huna aki ya kuhudumia mashine yeyote ile. Wanaotumia barabara nao wanajaribu kuchezea nyani tagaa bovu bila kufuhumu kuwa wanatazama ana kwa ana na kifo.

Askari wa barabarani nao wamegeuka kuwa wanyama na waja wanaotoka kuvuna kule ambako hawajapenda. Kuthibiti hali hii kaski hizi imekuwa juhudi za mta maji kejani wao wenyewe ndio wanaochangia sana. Wengi huona fahari kila kuchao kwani hufarijika na pesa kidogo tu na kuwezesha magari ambayo hayana vyeti vinavyofaa kuenda kuhudumu.

Weledi waliamba kuwa chako ni chako kikioza kikaushe ulumbi huu haumanishi kuwa anayemiliki gari hana haki ya kuitunza na kuhakikisha kuwa liko katika hali nafuu. Ni nafuu kuwa baada ya maswada ulioperishwa bungeni wiki inayopita utweza kuhakikisha kuwa swala hili limeshughulikiwa kwa kina.

Magari haya mabovu ndiyo yayo hayo ambayo yanaleta kubadilisha hali ya anga baada ya kufurusha hewa iliyo na kemikali ambazo ni hatari katika maisha ya binadamu. Wengi humu nchini wamweweza kugunjeka kifua kikuu nchini wameweza kugonjeka kifua kikuu na mawele mwngine hususan walioko kattika miji mikubwa.

Hali ya barabara nyingi humu nchini nayo si shwari. Ni kweli kuwa macho hayana pazia kwani kila moja anaona jinsi barabara zilipoharibiwa na mafuriko ya kipindi kilichopita. Katika barabara hizi utapata mashimo ambayo uwaletea fedheha watumizi wa barabara hilo hususan madereva kwani hulazimika kuyaegesha magari yao mle kando kadri mashimo haya yanapojaa maji.

Mashimo haya pia husababisha ajali hususan kwa madereva ambao. Huwa mara yao ya kwanza kuzuru maeneo haya. Ni wajibu wa serikali kuhakikisha kuwa barabara zote limeweza kukarabatiwa ipasavyo na kutuzwa hali hii yaweza kuhakilishwa mahali ambapo serikali itaweza kupiga marufuku uchukuzi wa magari yanayobeba shehena nanga.

Inasikisha sana kwa hizi unapowaona madereva wawili wakizipiga misasa tajribu zao barabarani. Wao hukimbiza magari. Inasikitisha sana kwa hizi unapowaona madereva wawili wakizipiga misasa tajribu zao barabarani. Wao hukimbiza magari yale kama wehu pasi kujua kuwa ndio wao wenyewe wanomiliki nyuzi za uhai za abiria wao. Je, si mwezi uliopita serikali iliweza magari yote ya abiria?.

Wengi wao baada ya muda mchache waliweza kufunga tabia zao kwani tabia ni ngozi ya mwili baada ya kuona kuwa usono wa barabarani hawatilii hili maanani.Ni wajibu wa serikali kuhakikisha kuwa imeweza kanuni mpya za utendekezi katika wizara hii ikuwepo kuwafurusha mabwanyenye wanaitawani wizara hili kwasabaubu wao hujipwatuka makochini mwao huku mwananchi wa kimo chini akiona taabu.

Kwa kuwa hakuna mchele ukosao ndume, wengi wao wanapoandamana na kesi kortini za ufisadi hufanya juu chini na baadaye kesi zao kwishia kusikojulikana. Hii ni mojawapo ya wizara ambayo bila shaka imeweza kukubwa na kusuba na jinumiu hili la ufisadi. Wanaokula hongo barabarani hao hakuna budi ya kutowatafuta kazi.

Hili ni jambo ambalo limeweza kushurutishwa na wanajamii mashuhuri wa hivi karibuni akiwa ni rais wa jamhuri yetu na kuwaonya wanaoendeleza ukaini huu. Wao hujifanya kutoskia la mwadhini wala la mteka maji msikitini lakini wanapoputiwa na hali hii wengi wao hulia kwa kile huku wakishurutisha wengine wanaowapiga kuwa na juma fiche ya kujongo’a mamlakani.

Ni jambo la kuhuwamisha sana unapowaona viongozi wetu wakitpake mafuta kwa uti mgongo wa chupa kwa kutupa hahadi ambazo langu jadi imepita barabara yamesalia kuwa yale yale. Nishani serikali kuwa fumbata moshi ili kuhakikisha hali hii tumeizika katika kubuni la sahau. Ni jambo la busara na la kufurahisha kuona Rais nchini ukifanya juu chini kigana na ufisadi nchini. Wako mwaminifu.

Francis Eliot.

Similar Posts