Insha ya barua za kadi au Mialiko.
Ni barua ambayo hupeleka taarifa kwa mtu au kampuni au kikundi fulani kumuomba ahudhurie sherehe fulani kwa mfano: Ubatizo,harusi au kufunguliwa kwa jengo.

Kumbukumbu ya tukio fualni.
Harambee au mchango.
Kuazaliwa.
Kufunguliwa kwa jengo n.k.
Zipo aina mbili za mialiko.
– mialiko rasmi
– Mialiko isiyo rasmi.
Mialiko rasmi.
– Hufanya na shirika au idar ya serikali.
Mialiko isiyo rasmi.
– Huwa kati ya watu wanafamiana m.f ndugu au jamaa.
Umuhimu ya mialiko.
1. Kutujulisha kuweka kwa shughuli fulani.
2. Kutaka msaada wetu katika shughuli mbalimbali
m.f mchango la fedha.
3. hutukumbusha kuwepo kwa tukio fulani m.f ukumbusha wa mazishi
4. Huwasaidia manao andaa shughuli kuapanga vizuri
kulingana na idadi ya kodi walizopeana.
jinsi ya kuandika/kuchora mialiko.
Mialiko huwa mifupi haina maelezo au taarifa ndefu.
Yafutato huzingatiwa:
– Jina la mwandishi au mwalikaji na anwani yake.
– Jina la mwalikwa au mwandikiwa.
– Kusudi la mwaliko au mwalikaji.
– Tarehe ya sherehe na wakati itakapoanza.
– Mahali itakapofanyika au kukutania.
– Anwani na nambari ya simu ya mwalikaji.