Insha ya Dayolojia kuhusu ajali ya barabarani.
Insha ya Dayolojia kuhusu ajali barabarani.(Afisa mkuu was polisi was idara na mwanafunzi ofisini mwa walimu mkuu.).

Afisa: Hujambo?
Mimi: sijambo afisa.
Afisa: Masomo yv.ako vipi?.
Mimi: yako rahisi Kama kunya maji.
Afisa: Hiyo ndio maisha jitahidi.Mimi: Asante.Afisa: katika Masomo najua mnafunza njia za kujikinga barabarani.
Mimi: naanm
Afisa: Kama zipi?.
Mimi: kuendesha gari kwa utaratibu.
Afisa: hongera ! Ingine.
Mimi: Dereva hafai kuendesha gari lake akiwa amelewa Ana anavuta sigara ama kutumia kodonge chochote kile Cha sawa za kulevya.
Afisa: Hiyo ndio nilitarajia useme Kwanza madereva walita Hilo katika sikio la kufa ambalo haliskii dawa.
Mimi: madereva at anaweza kuwa ua watu takribani ishirini safari moja.
Afisa: Naam kweli wewe umetafakali kwa makini hongera!.
Mimi: Mimi ni mwana sana.
Afisa: kweli.
Mimi: Asanti.
Afisa: lesoni njema.
Mimi: Asante ( anaenda darasani)