Insha ya familia yangu.

Familia yangu inahusu na watu watano. Hawa ni baba,mama,ndugu na Mimi. Jina la baba yangu ni Joseph otieno. Yeye ni mrefu na mwembamba kama sindano. Yeye hufanya kazi Kwa kampuni ya middemb. Yeye hufanya kazi sana ili Mimi na ndugu yangu na dada yangu tupate kula na tupate mavazi.

Yeye ni mpole, lakini akikasirika ni mkali kama pilipili. Baba yangu hunisaidia Kwa kazi yangu ya nyumbani na hunifunza na kunielezea Kwa Yale sijui. Yeye hunichekesha kama nime kasirika.M

Mama yangu huitwa Stacey mwende. Yeye ni mweupe. Yeye ni mfanya biashara na yeye hufanya juu chini alone tuwe na furaha. Yeye husaidia wenye hawawezi kujisaidia Kwa kupea nguo na mengine.

Jina la ndugu yangu ni brian otieno. Yeye husoma shule ya upili ya Maseno . Yuko kidato Cha tatu na hufanya bidii sana shuleni ili apate mapato mazuri Kwa mtihani. Yeye hapendi kuchekesha watu na kuwafurahisha. Yeye hupenda Muziki. Brian anapenda kusakata rhumba.

Dada yangu huitwa Monica atieno. Yeye ni mnono. Husoma shule ya Aria, Yuko kidato Cha nne. Monica ni mwenda haraka, hapendi kufanya vitu polepole. Yeye husoma sana ajili ya mtihani wake. Yeye husoma sana ajili ya mtihani wake. Napenda familia yangu na naomba wawe daima dawamu.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts