Insha ya hadithi na sifa zake.
Insha ya Hadithi fupi na sifa zake.
– ni kazi ya kuzama inayoshisha masimulizi yenye mtiririko wa matukio na wakati kuhusu maisha ya binadamu.

Sifa za hadithi fupi.
1. Huchukua kipindi fupi.
2. Fani – muundo, matumizi ya lugha , misemo, Nahau , methali na Tamathali.
3. Wahusika uwa wachache na hawakazwi kikamilifu.
4. Mandhari – Hufungika kwa kutumia mahali pamoja.
5. Masimulizi huwa mepesi.
6. Mgogoro hukuzwa mapema na kufikisha kingeleni hupasi.
7. Huweza kusomeka katika kikao kimoja.