Insha ya haki za wanachi.

Ungeniona ungedhani sheria haizingati haki za binadamu nchini mwetu. Nilikuwa na umka na mwili mzima na nimelala kwenye simiti. Pingu zinaumiza mkononi na kuni kidogo. Ilhali ni ngali jua kitafika hadi hapa nisingali ongea katika mkutano hu. Lakini ni lazima nilete haki zetu tuache kutendwa kama wanyama.

Njaa inanimaliza humu ndani jelani. Harufu mbaya inanizungumka mwilini. Kuteswa hivi, ata naye mola ata tuonekana. Na mwona mwingine mwenzangu kiunchuri. Akiwa amelala sakafuni aki ushika utumb wake. Baridi nayo ni mingi, hatuna blanketi wala nguo nzito.

” Bwana halali.” kiunchuri kaniita. ” Tutafanya aje kama tuko humu ndani?.” akauliza. Mawazo yalinikumba akilini hadi na nikachanganikiwa ” usijali wacha tujikaze lakini haki za wananchi zi timizwe.” Nika mjibu. Afisa moja aliyeitwa BOb aliingia na kuamsha watu. ” waheshimiwa, amkeni tafadhali. kuna mgeni amekuja kuwa tembelea.” alisema.

Tulipelekwa katika chumba tofauti. Tulipoingizwa majoka, kiongozi wa jiji letu ameketi kitako kwenye kiti. ” Ni juzi mlikuwa mna kula huku, saa hizi, mwakula kama kuku.” Majoka akasoma kwa kicheko.” Mbona una kitu mwingi moyoni mwako?.” Nikamuliza majoka.

” Kimya na uketi chini. ” Alisema kwa sauti kubwa. ” Majoka utalipia hii damu ambaye tunaimwaga saa hizi. watu hawakutoka tena katika cheo hicho chako.”kiunchuri kuongea. MAjoka aliamkaa na kujaupande wetu. Tuliangaliana kwa macho kwa muda wa dakika mbili.

” watoe, waachilie waende kwa mabibi zao.” Majoka alimuita mwanapolisi kuja kutuachilia huru, ” kabla twende majoka, ningependa kukuambia,watu wata hakikisha kwamba umetolewa”. Nilimwambia, tulifunguliwa pingu nakutolewa katika jela.

Tulipokuwa tunaenda njee, tukaskia watu wakipiga duru. ” wachiliwe sisi sote tuingizwe ndani pia.” wananchiwali teta. Tulipo tokea kwenye wanachi wali furahi sana. ” Asanteni kwa kuja kututoa lakini majoka ndiye ametutoa. Tumepitia mengi hapa ndani lakini haki yenye zimetimizwa.” nilikwaambia wananchi. Tulienda kwetu kwa furaha kuwa haki zita timizwa.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts