Insha ya hasira ni hasara.
Hii ni methali inayotumika kukejeli watu wenye hasira. Naam basi pa sina kufiukiria basi hasara utapata kutokana na hasira. wakale hawakunoa waliposema kuwa hasira ni hasara.
katika mji wamaporomoko paliondokea bwenyenye mosi aliyekua mkizi. Bwenyenye huyu alikuwa na aila yake aliyoipenda kama chanda na pete. Alikuwa na mwana kwa jina jabali. Mwana huyu alpozaliwa alianadaliwa sherehe yakumkaribisha nyumbani kwao.

ghulamu huyu alikuzwa kwa ukarimu na unyenyekevu mwingi mno na nina yake. Baba yake aliporudi kuishi nao hali ikawa si hali tena. Ukarimu aliozoe baba yake aka mwonya dhidi yake.
Lailai mosi kama ilivyokuwa ada yake alichukua mavazi yake na kuyapeana kwa walala hoi. baba yake alivyo jua tendo hilo. Kwa hasira alianza kumkaribia mwanawe kwa maneno yasiyoivutia nyoko yake, aliporudi nyumabani alipata mwanawe ameondoka kuelekea asiko kufahamu. kweli fungate hauliumizi kuni.
Nina ya yule ghuklamu aliondoka pia na kumwacha yule mzee tajiri humo nyumbani. Vijakazi waliokuemo wa kaacha kazi na kuondoka. Kazi ikawa ni kulewa chakari. Nina ya ghulamu yule na mwanawe walishi pamoja huku baba mtoto akibakia kungaika na kuhribu mali yake yote. Alibakia maskini. Huku ni kiamini na kuunga mkono wa jafi waliolonga kuwa hasira ni hasara.
