|

Insha ya Hotuba ya mwalimu kwa wanafunzi.

EVERYTHING ON JUMIA

Wanafunzi hamjambo?. Nina furahi sana kuona vile mlivyochangamka. siku hii ya leo ningependa tuzungumze juu ya vitu vitakavyotusaidia tufaulu maishani mwenu na pia kwa heshima yenu.

Ninatarajia mniskize Kwa makini nataka kuwapa mawaidha machache kwanza. Ninawapongeza kwa bidii yenu mnavyotia katika masomo yenu. Tieni bidii vivyo hivyo msije mkajuta baadaye kwani, majuto ni jukumu huja baadaye. Natumaini mtatia bidii zaidi ya mnavyotia.

Pili, mnafai kuwa na adabu na heshima. Mnafai kutia wakubwa wenu kwa wadogo. Msidhubutu kuwadharau eti kuwa ni wadogo.Hapana watini hindi nyingi mnavyo taka wawatii. Pia muwe na adabu njema. Mtu akiwa na adabu hufaulu katika masomo yake.

Mnafai kuwa na uhusiano mwema. Tuwapende jirani zetu. Si eti akikukosea umtusi. Tuombe msamaha na haha yaishe. Tusigombane na rafiki au adui zetu. pia, tuwapende adui zetu.

Tatu, tuwasaidie wenzetu katika Jambo lolote au kitu. Tusiwaepuke, kwani Sisi sote ni ndugu wa mama mmoja. Tukae kama ndugu watoka nitoke. Tusiwa tenge wenzetu tuwe na umoja. Kwani wahenga hawakukosea walipo longa umoja ni nguvu, utengamano ni udhaifu. Tusaidiane pasipo kujali kama mtu ametoka pembe ya pwani au ni nchi nyingine. Tukisaidiana, tutabarikiwa.

Pia ninawahimiza muwe na usafi . Kwani usafi ni utu wa ngozi. Tunafaa kulaa mahali safi, kula chakula safi,Maji safi na kunyunyuzia Maji moto yetu. Tusipooga tutanuka kama beberu. Pia titakuwa makao ya chawa, funza na kunguni kwa hivyo tuoge na tuvae nguo safi.

Kadhalika, naonya dhidi ya kuwa na tabia njema. Tunafai, kuwa na tabia njema kwani tusipokuwa mayo watu watatudharau ovyo wakitutia Kupe. Tabia ni muhimu katika maisha ya mwanadamu. Watu huajiriwa wakiwa na tabia njema. Tukomeshe tabia Mbaya na tuabadilike.

Sasa, kunazo shida zinazotuepuka na ningependa tuziepushe. Kuna shida ya ukosefu wa vitabu lakini vitabu mtapata tu . Msijali hilo sio tisho kubwa kunayo shida ya kuongea ongea ovyo. Tunafa kukomesha hiyo shida kwa kynyamaza ukiwa hapo darasani shida ingine ni kusumbua akisoma. Kama wewe hutasoma heri ukae Nyumbani.

Kwa hayo ningependa pia tutaje njia ya kuwasiliana. Tunafa kuwasiliana na rafiki zetu vizuri. Tusiwajibize vibaya kwani wao ni ndugu zetu. Tuwasiliane kwa njia rahisi. Mawasiliano ya mtu na mwenzake ni mawasiliano yasiyo na shida ile tu tukiwasiliana vyema.

Ninatamahisha kwa kuwatika kula ufanisi katika nyanja zote za maisha. Ninatumaini hayo mmeyatia maanani na mtabadilika, ahsanteni na mungu awabariki.

Similar Posts