Insha ya kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka.

EVERYTHING ON JUMIA

Insha ya kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka.

rocky cliff near calm river in peaceful nature
Photo by Rachel Claire on Pexels.com

Insha ya kumbukumbu za mkutano wa pili wa mwaka ambapo tutajadili ajenda zifutazao usajili  wa wanachama wapya kuamrisha uzungumzaji wa kiswahili shulenina kongamano la kiswahili. Tarehe 7 Januari kuanzia saa nne jioni.

Waliohudhuria.

Bw. Morris Nzomo  – Mwenyekiti.

BI. Grace fahari – Naibu wa mwenyekiti.

BI. Stacey mwende – Mwekahazia.

BI. Pius mwendwa – Katibu.

BW. Dennoh musyoki – mwanakamati.

Waliotuma udhuru.

BW. John mwanzi – Mwanachama.

BW. Patricia kimkungut – Mwanachama.

BW. Peter Nzoki – Mwanachama.

Waliokosa kuhudhuria.

BW. Noah joel – Mwanachama.

BI. Alice samson – mwanachama.

Katika mahudhuria.

Prof . Dennoh victor – Afisa katika wizara ya elimu shuleni.

AJENDA.

Usajili wa wanachama wapya.

Kuamazisha uzungumuzaji la kiswahili shuleni kongamano la kiswahili.

WASILISHO KUTOKA KWA MWENYEKITI.

Mkutano ulianza saa nne kwa maombi yalioongoza na BW. Dennoh musyoki. Mwenyekiti aliwakaribisha waliohudhuria na kuwashukuru kwa bidii walionyesha.

KUMB: 7: 2021  USAJILI WA MWANACHAMA WAPYA.

                              Katibu aliwafahamisha wanachama kuwa tuko na usajili wa wanachama wapya ambapo wenye walikuwa walieza kuenda kwao na kusema wanachama wachaguliwe wengine.

KUMB: 8: 2021  KUAMAZISHA UZUNGUMZAJI WA  KISWAHILI SHULENI.

Wanachama wanakubaliana kuwa wanafunzi wakuwe wanazungumza lugha ya kitaifa ambayo ni kiswahili kwa sababu wamezoea kuongea kiingereza mpaka wakasahau kiswahili.

KUMB: 9: 2021 KONGAMANO LA KISWAHILI.

Wanachama wanaarisha wanafunzi wasikuwe wanaongea kiswahili kila siku lakini wanaeza tegewa siku moja tu maalumu ya kuongea kiswahili.

KUFUNGA MKUTANO.

Mkutano ulifungwa kwa maombi yaliyongozwa na BW. Pius mwendwa saa tisa jioni.

THIBITISHO.

                                                  Sahihi                 Tarehe.

Mwenyekiti :                                                         7 Januari 2021

Katibu          :                                                         7 Januari 2021

Similar Posts