Insha ya maelezo

Insha ya maelezo ni insha ianyoaagiza mtu afanye jambo fulani au kumwonyesha njia yakuonyesha maneno fulani au michoro.
– Mtu hupewa maelekezo ili kuhakikisha kuwa, hayafanyi mambo fulani vibaya au njia isiyofaa.

1.Maelekezo wakati wa mtihani.
2. Maelekezo jinsi ya kutumia dawa fulani.
3. Maelekezo jinsi ya kununua kifaa na kutumia k.v Runinga, simu.
4. Maelekezo jinsi ya kununua kifaa na kutumia k.v runinga, simu.
5. Maelekezo ya barabara.
Umuhimu wa maagizo.
– Kumwangaza mtu kufanya jambo fulani.
– Kuhakikisha na mtu hapotezi wakati.
– Kumwezesha mtu kuwa na nidhamu fulani.
– Kuwe na maelekezo mzuri wa kufanya mambo. M.f maelekezo ya mapishi.
– Kumwepusha mtu na hatari m.f maagizo ya jinsi na kutumia dawa.
Jinsi ya kuandikia insha ya maelekezo.
1. Kuwe na kijiichwa.
2. Maagizo yafutane moja kwa moja kuanzia agizo la kuanzia hadi ya mwisho.
3. Kusiwe na agizo au, ama.
4. Kusiwe na njia mbili za kufanya jambo.
5. Ni jambo la busara kutumia namanri kwa kila agizo ili kuonyesha jinsi utaratibu wa kuandika jambo utafululizwa.
m.f: Jinsi ya kumhudumia anayetokwa na damu tia maanani kwamba kuvunja kwa wingi huenda kukamfanya mhusika kuzirai kutokana na mshtuko zingatie yafuatayo.
1. Valia glovu za mkono na uhakikishe umwewana mikono kabla ya kufanya huduma.
2. Ikiwa una jeraha ama kidonda, kizibe kwa rifaa chenyae kunata na kisichopenyeza maji.
3. Vua au rarua nguo za mwathiriwa ili kuweka wazi kidonda. Chunguza ikiwa Jeraha ina vitu vikali.
4. Finya eneo lenye jeraha kwa vidole vyako vya nyumba, kimoja kila upande wa jeraha kunganda na kumwezesha damu kunganda na kumwezesha.
5. Inua sehemu iliyojeruhia juu la eneo la moyo wa mhusika.
– Hakikisha unafanya hivyo kwa uangalifu haja ikiwa jeraha limajirikisha ili kupunguza mwendo wa damu.
6. Mlaze chali mhasiriwa kichwa kikiwa kimeinama kidogo kuliko kiwiliwili ili kupunguza uwezekano wa mshtuko wa moyo.
7. Mfunge bendeji katika eneo la jeraha.
8. Ikiwa damu huonyesha kewenye bendeji mfunge bendeji ingine juu.
9. Mpeleke mhajiriwa katika kituo cha matibabu kilicho karibu.,