Insha ya mahojiano Kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi.

Insha ya mahojiano kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi.
Meneja: Karibu ndani. Hujamnbo?

Mwajiriwa: Asante. Sijambo.
Meneja: Unaitwa nani?
Mwajiriwa: Hassan Ali.
Meneja: Kutoka wapi?
Mwajiriwa: Kutika muranga.
Meneja: ( Huku akisimama) ningependa kukutembeza huku ili ukujue sawsawa.
Mwajiriwa: (Akisimama kwa kutabasamu) anamuuliza meneja mengi kuhusu kampuni hiyo.
Meneja: (Akiashiria) hapa ndipo wafanyikazi hulala.
Mwajiriwa: Asante kwa kunionyesha.
Meneja: Ningependa nikutembeze kila eneo ya kampuni hii.
Mwajiriwa: maeneo mengine yanapendeza sana.
Meneja: ndio maana unaona wateja wengi wakifanya kazi.
Mwajiriwa: kwa kweli kampuni hii ndio maana ikon a sifa teletele.
Meneja: ( Huku wakirudi ofisini) sasa ningependa niziangalie barua zako za shuleni.
Mwajiriwa: ( wamefika ofisini ) Bwana, barua zipo hapa.
Meneja: kumbe ulikuwa unafaulu vizuri?.
Mwajiriwa: ndio ili niweze kuinufaisha baadaye.
Meneja: Hata hivyo. Mimi ningependa kukupongeza sana kwa bidii yako. Pia hapo nikikuajiri endelea vivyo hivyo.
Mwajiriwa: Asante kwa kunipongeza. Nitaendelea na bidii, heshima na utu wangu.
Meneja: sasa nimekubali ombi lako la kuomba kazi.
Mwajiriwa: Nashukuru kwa kunikubali.
Meneja: Ukikubwa na tatizo lolote kuhusu waajiriwa wengine, niammbie ili tuyatatue.
Mwajiriwa: Nikiwambia sita ficha. Labda siku moja nitakuwa na tatizo na waje waniseme.
Meneja: najua weweunaweza fanya kazi kushinda wale wengine.
Mwajiriwa: Ndio nitafanya kazi bila uvivu wowote.
Meneja: kwa leo, pumzika bali kesho unaweza anza kazi.
Mwajiriwa: sawa nitafanya uliyoniambia.
Meneja: Kazi unzoziona zikifanywa hapa ndizo utakavyo fanya.
Mwajiriwa: Si kazi ngumu. Ni rahisi kama mboga.
Meneja: Jitahidi sana.
Mwajiriwa: Nitafanya hivyo.
Meneja: unaweza kwenda zako lakini ukumbuke kuja mapema kutika ni saa mbili.
Mwajiriwa: Asante.
Meneja: kwaheri.
MWajiriwa: ya kuonana.