Insha ya mawaidha sifa na umuhimu zake.

Mawaidha.

Insha ya mawaidha sifa na umuhimu zake.Mawaidha ni yenye maana au kutawasia anaofaa wanajamii. Hulenga kutoa ushauri kwa wanajamii ili kubali mienendo. K.m harusi kama unapigwa pingu za maisha.





Sifa za mawaidha.

– fanani anyetoa mawaidha awe na tajriba kuhusu swala anaoshauri.

– Semi za watu hutumiwa kutoa mifano.

– Hutumia lugha ya kweli ili kuwadhiri wanaosheuriwa.

– Lugha ya mawaidha huonyesha busara kubwa.

– Hutumia tamathali za lugha k.m methali, misemo na nahau.

– Swala za mungu ama ala hujitokeza na wakati mwingine amri zake hunukunuliwa.

– Mawaidaha hutafautiana.

– Mawaidhana hutegemea mktadha mbalimbali k.m jando na unyango, harusi. N.k.



Muundo wa mawaidha.



– Utangulizi – fanani huelezea kiini ya hadhari ya hadhira.

– Mwili – ni mawaidha yenyewe.

– Hitimisho – kukamilisha na kumwacha anayeshuria afanye uamuzi.



Umuhimu wa mawaidha.

– Huchangia katika kurekebisha tabia au mienendo ya wanajamii.

– Husaidia kuondoa ujinga katika jamii

– Huendeleza utamaduni wa jamii.

– Huimiza maadili miongoni mwa wanajamii.

Similar Posts