Insha ya mawazo Ningalikuwa rais wa kenya.

kuna aina mengi za insha kama vile ya masimumilizi, Barua, mahojiano, majidiliano na mengineyo. lakini leo tuna mafano moja wa insha ya mawazo ila utungo wake ni toufauti na mengine. Insha huu ina utungo ambao huandikwa kutokana na kuwaza kwa kina kwa mandishi.

Ningalikuwa Rais wa kenya.

Ni nani asiyelalijua kazi ya kuwa rais nchini kenya?, labda kwa wale hawajazaliwa au badi ni watoto wachanga. Kuwa rais nchini kenya ni kazi ingine kubwa nchini kenya na huu unataka mtu anaye heshima, anayeogopa mungu. anayejali matakwa ya watu nchini mwake na pia isitoshe Ukarimu.

Kwa runinga kila saa tunaona maisha ya kuwa rais ni maisha wengi ungependa kupata. Wala si kuendeshwa kwa gari kifahari, kufuatwa na kulindwa kila mahali na polisi, kusafiri inje akipewa ndege lake kusafiri inchi anayepelekea.

Haya yote ni maisjha kuonyesha kila kitu ni nywee. lakini kuna mambo mengi yanaofanyika ndani ofisi wa rais kule state house. Mambo mengine ni ya siri ambao mwananchi hafai kujua.

Lakini ningalikuwa Rais wa kenya, ningeanza kupinga sana maneno au matendo ya uabguzi katika nchini yetu kenya. Mtu yeyote aliye tajiri au maskini aje afungwe gerezani maishani mwake ili iwe funzo kwa wale wanaojaribu ubaguzi huu.

Ubaguzi umekuwa changamoto sana na ni lazima ikome ili watoto wetu wa kesho , na watu wapewe nafasi sawa katika makazi yao. Maisha ya mtu yawe sawa na isiwen kila saa ubaguzi utumike kwani inaumiza na kuhribu watu nafasi zao na hapo si tendo nzuri.

Cha pili, ningechukuwa mikakati ya kuleta wa kenya pamoja na kuleta amani na uelewano baina ya ukabila katika nchini yetu. Ukabila sana sana yamechangia kifo ya watu wengi nchini yetu na nisingependa turudi nyuma kwa furiko kama hilo tena mwaka elfu mbili na saba.

La tatu, nitafanya juu chini kufanya serikali kuinua pesa za kusaidia kuziinua taasisi zote za elimu na hadhi ya elimu nchini kenya. Isiwe mwanafunzi yeyote. Si lazima aende nchi ingine kuelimika ndio apate kazi hapa inchini yetu hii itafanya ilete wa kenya pamoja na tuijenge inchi yetu.

Linalofuatia, nitasaidia nchi hii kujiinua kiuchumi. Hii itazuia wengi wa kenya kutamani kuhamia nchi zingine kama Amerika, China na imchi mengine yashainuliwa kiuchumi. Maisha ya mwanachi itakuwa bora zaidi na ikija kwa serikali watapata ushuru itayotosha kupea mahitaji kwa watu wa kenya.

La mwisho sitaisahau ni mambo kuhusu sekta ya ulinzi katika kenya. Ugaidi lazima ikome na kuchukuwa maisha la binadamu bila kosa ni kitu unyama sana na watu wana roho kama hiyo ni lazima washikwe au kuawa wakiwa wakiendelea unyama huu.

Ndio maan kila siku tunawaombea jeshi letu la KDF mungu awalinde na awape nguvu kuilinda kenya yetu. Kenya si nchi tu bali kenya ni watu. Nina mengi ningependa kufanya lakini haya ndio muhimu sana ningalifanya, Naomba mola anipe nafasi niwe Rais wa kenya, na kweli mambo yatabadilika.

Similar Posts