Insha ya mazungumzo au dayolojia na maana yake.( guide)
Insha ya mazungumzo au dayolojia na maana yake.(guide).Dayolojia ni mzungumzo yanayo wahusu watu wawili au pande mbili.

Zikiwa na lengo la kutatwa au kuweka wazi swala fulani.
Mazungumzo hutokana na kitezi zungumza.
Kilicho na maana ya kubadilishana mawazo kuhusu swala lolote.
Mazungumzo hungawanya mara moja:
a. Mazungumzo rasmi.
b. Mazungumzo ya kawaida.
Yanatokoa mahali popote wakutanapo husik.
Mazungumzo haya hayana mada wala utaratibu wowote wa kuzingatiwa.
Sifa za mazungumzo ya kawaida.
1. Washiriki hukutana kati.
2. Yana matumizi mengi ya sihara, vicheko na utani.
3. Huchukua mkondo wowote kutegemea wanaoshiriki.
Sifa za mazungumzo rasmi.
1. Haya huelekezwa mahali maalum na huwa na mada maalum.
2. Utaratibu fulani huwekwa.
3. Huwa yafanyika uhamuzi fulani.
4. Huwa kuna mada yakubainisha mazungumzo ni juu ya nini.
5. Ishara, vicheko na vitendo mbalimbali huambatana na huonyesha kwenye mabano.
6. Huendekezwa katika usemi halisi m.f ni ama tu.
7. Wazungumzaji huanza kwa mambo mepesi na kumalizia kwa yaliyomazito.
Uandishi wa dayolojia mambo yafuatayo.
– Elewa waziwazi mada unayoiandikia.
– Ipe dayolojia kichwa kuonyesha wanaozungumzia juu ya nini.
– Majian ya wahusika huandikwa pembezoni yakifuatwa na nukta mbili.
– Washiriskishe wazungumaji kikamilifu na hatimaye watoe suluhisho kuhusu swala la suluhisho.
– Kuza dayolojia yako hatua kwa hatua mifano ya dayolojia.