insha ya mazungumzo

Mazungumzo kati ya wafanyikazi wawili.

( katika bustani masaa za chamcha. Bwana juma na rafikiye sami wanakutana. Kila mmoja amekuja kupumzika kusubiri saa kurudi kazini, wala hawali chamcha.)

Juma: (Anacheka akila chakula chake chamcha akigeuza kumwona mwenzake sami hali). Ala! sami, mbona huli chakula chako. Utafaa njaa kwani kazi bado mingi mno.

Sami: ( sami anangalia juma hapa akijishikilia kichwani.) Juma nimekuwa nikifikiria vile wakubwa wetu wanatoka kula nyama choma huku mimi shibe yangu ni hiki kichakula hakishibishi.

Juma: ( Juma anaupunguza mdomo wake na kukimeza chakula chake). Mbona una fikra sana kuhusu jambo hilo?.

Sami: Juma! ( hapa akijikunja mikono.) sielewi vile baba na mama zetu walifanya juu chini ili nisome vizuri, nikaufika chuo kikuu, nikapasi na kufaulu na nilipomaliza shule kazi yangu ilikuwa tu kutafuta kazi.

Juma: ( juma anacheka na kusema). sami si wewe tu umejiuliza swali kama hiyo. Yani binadamu amepewa uwezo wa kufikiri na kutengeneza mazingira yake yawe mwafaka. Hii ni zawadi mwenyezi mungu ametupa lakini je vile mambo yanavyoendelea?.

Sami: ( Sami anatazama juma tu, tuli usoni akionyeha huzuni). Lakini juma mbona sisi twateseka hivyo na hakuna jambo lolote niliyofanya?.

Juma: Ni hali ya maisha sami, na si sawa. Kwenye barabara naona magari makubwa makubwa ya watu wenye nacho yakijipitia kwa utaratibu mwingi. Nilitaka kuwa moja wao.

Sami: ( sami anaketi vizuri na kuliza swali kwa makini) juma ndoto yako ilikuwa kuwa nini?.

Juma: (Kwa huzuni.) nilitak kuwa waziri wa elimu. Nilifanya juu chini nipate msaada kidogo katika sekta ya serikali lakini wapi. Ndio nimesoma, mkononi nina bahasha yenye nyaraka zangu, kupata kazi ni vigumu. Kazi iliyobaki nchini ni kutafuta kazi. Nikapata kibarua hiki cha kuwalimia matajiri.

Sami: ( kwa mshangao ) kwa kweli nchi huu sisi na matajiri tumetengana mno. Hawezi pta maskini na tajiri wakitembea pamoja. na ndito lako je? unaona ukifafanua.

Juma: Vile mambo yanavyondelea….. huenda ndoto ikawa ndoto tu.

Sami: Usife moyo Juma na amini siku moja utakuwa kwenye televisheni, kubandikwa kama waziri wa elimu.

Juma: ( Akiwa na furaha). haya basi wacha kufikiria sana una ule chamcha kabla ya wakubwa kuikata mshahara zetu.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts