Insha ya mchumia juani hutia kivulini.

Naam!, Wakale hawakunona walipologa kuwa mchumia juani hutia kivulini. Hii ni methali iliyotumika kukaahifu wanajamii dhidi ya kutia bidii za mchwa Kwa kika ufanyalo.

Basi katika kitongoji Cha uzima paliondokea ghulami mosi aliyekuwa ana tofauti na ndovu. Alikuwa ghulami aliyesgimika Sana kijijini. Shuleni alikuwa bingwa kwani hamna aliyemshimika sana kijijini. Shuleni alikuwa bingwa kwani hamna aliyemshinda Kiumaarifa. Kwenye mitihani aliwakanyaga wenziwe utosini.

Katika darasa la tano alijisifu mno akajitoma kwenye anasa za dunia. Bila shaka mvulana huyo maisha yakageuka aliokuwa anawabeza na kuwatusi matusi yasiyo weza kupita masikioni mwa mwanadamu wakawa ndio wanaomsaidia. Dada yake aliyeitwa bahati hakujaliwa kuwa bingwa masomoni hata hivyo alikuwa na talanta ya kuigiza.

Shuleni alitia bidii Kwa lolote alilofanya. Bahati hakujaliwa kuwa bingwa masomoni hata hivyo alikuwa na talanta ya kuigiza. Shuleni alitia bidii za mchwa. Kaski mosi wageni walijaliwa kifika shuleni mwao ambapo mwalimu mkuu alialika bahati kuwa tumbuiza Kwa kuigiza.

Bahati na wanagenzi wenziwe waliwa tumbuiza Kwa mchezo uliokiacha wakitaka kujua Nini kilichotendeka baadaye. Kwa bidii za kuigiza Kwa mara alipata mfadhili aliyefadhili masomo yake. Ni furaha iliyoje kwake?.

Bahati alisoma bila tatizo yeyote kumtuma nyumbani Kwa ajili ya karo. Ingawa alikuwa haelewi kitu darasani alitia juadi ili afanikiwe. Katika darasa la Saba mwalimu wao aliwahimiza kuwa, ” utavuna ulichopanda.” Bahati akayashika Maneno hayo Kisha akajitoma vitabuni huku akifahamu kuwa mkono mtupu haulambwi.

Kila uchao alisumbua walimu Kwa maswali rahisi Kwa magumu. Baada ya kufanya mitihani wa mwisho wa mwaka siye wa mwisho. Aliendelea vivyo hivyo Hadi wakati alipomaliza muhula wa pili katika darasa la nane. Katika muhula wa pili Kwa kuwa mungu hamsahau mja wake. Alifanikiwa kuibuka bingwa baada ya mitihani wake wa kitaifa.

Alijiiunga na shuke ya upili ambapo mwenendo ni ule wa bidii. Hatimaye aliongoza, aliendelea na masomo katika chuo kikuu Cha ufanisi. Alipomaliza aliajiriwa na ” kampuni.” Ya wilaya. Sasa bahati anajivisha, anajilisha na kujinywesha . Masaibu yote aliyopata utotoni hayapo tena.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts