Insha ya mdokezo

Insha ya mdokezo. Hii ni insha ambayo mwanafunzi huhitajika kuikamilisha. Insha ya mdokezao ni aina mbili. 1. Insha ambayo mwandishi hupewa mdokezo wa utangulizi. 2. insha ambayo tamati yake inadokezwa au Mdokezo wa kwanza , mdokezo wa kumalizia.

close up photo of a smart boy doing a science experiment
Photo by MART PRODUCTION on Pexels.com

Mdokezo wa kuanzia.

–         katika mdokezo wa aina hii mwanafunzi hupima sentensi atakayoitumia kwanza kianzi cha insha. Kisha huhitajiwa kubuni na kujenga kisa itakacho endeleza. Kauli hiyo.

–         Mfano; a. Dereva alipunguza mwendo wa gari letu tulipokaribia daraja . Ghafla nikasikia sauti y vitu vikigongana paa: alafu kimya…..endelezi.

Mdokezo wa kumalizia.

–         katika mdokezo wa aina hii, mwanafunzi hupewa sentensi ya mwisho , yenye huhitajika kubuni na kuendeleza kisa kitakacho malizika kwa kauli aliyoipewa.

–         Kwa mfano …… hapo inanibainika kuwa maneno ni maneno tu, hata kwenye kanga yape.

Mdokezo tangulizi.

Mambo ya kuzingatia.

1.    Ukisoma kidokezo au kitangulizi ulichopewa kwa makini.

2.    Kuzingatia mambo muhimu katika mdokezo huo ambayo unwezana kuyatumia kuandika kisa.

3.    Upnga aya kunakuwa na mtirirko wa mawazo.

4.    Uzingatie uakifishaji bora na matumizi boara ya sarufi na hijaji.

5.    Kuandiks kwa lugha yenye kuvutia.

6.    Mtugo uwe na tamati.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts