Insha ya mpanda ngazi hushuka.

Katika kijiji cha changamoto palishi kitwana mmoja kwa jina chocha alikuwa na kujichocha katika shuke ya msingi na kumalizia katika chuo kikuu ilhali, alikuwa kijana mwenye bidii. katika masomo yake alikuwa mchwa ambaye ajegue kituguu chake kwa kutumia mate yake. Chocha aliamka asubuhi na mapema kabla mzee chemchi kuchomoza.

Jicho lake nyekundu upande wa matlaui na kuanza kupanga siku yake alifika shuke mapema na kusoma jioni angebaki shuleni na kuelekea nyumbani saa tatu usiku. katika mitihani yote ndiye alikuwa nambari moja alizawadiwa zawadi kem kem.

a man wearing a company branded shirt
Photo by Aidan Roof on Pexels.com

Alpokamilisha chuo kikuu na kupita vizuri katika mitihani wake alipata karamu na kuanza kazi ambaye ilimpa ganji mingi. Chocha alijigiza na kikundi cha vijana waliojulikana nao huko kituo kikuu walikunywa dawa za kulevya na kulewa chopi pesa zote za mshahara wake alizitumia kwa njia isiyo na maana.

Wavyele wake walimkombea sana na kabla ya miaka tano hivi aligeuka na kuwa mtu tofauti na ule aliyekuwa aliachana na vijana wenzake ambao walimtia katika hiyo shida ya kunywa dawa za kulevya. Alipata jiko na kumwoa mrembo mmoja aliyekuwa ameumbwa akaumbika, walifunga ndoa. Chochs alijenga jumba cha kifahari na shamba alimokuwa na farasi ambalo lilivutia watu. magari aliyabadilisha kama nguo moja kwa jingine alianza kuona watu kama siyo watu.

Wafanyikazi walijua tabia hii yake. Maploti aliyajenga , mashamba aliyonunua, magari pia haya kuachwa nyuma. Alikuwa chochote atakacho alivalia kirais na maisha yake yalikuwa mwendo mwema, angeamka wakati wowote ule kuitisha atakacho kisha kugurumisha gari yote kwenda kukaa kwa biashara zake. Chocha aligeuka mno, kuwa si chocha yule wa kwanza amabye hangetusi yeyote amabye alizoheshimu wote la si yeye tena.

Aliwaona wengi kama taka angekupita kwa njao na gari lake angeenda kwa mwendo wa kasi na kukuvumbulia vumbi hangeondoka barabarani ili kuwa pisha wazee njia. Maskini alipoingia kwake ati ni kuomba chakula angefukuzwa kama umbwa. Wavyele walijaribu kumwongelesha lakini maneno yao yalifua dafu.

Mchana kutwa mmoja wa ujazi mashamba walifika kwake kumbe majumba yote magari na maploti zote zilikuwa loni, aliposhindwa kulipa mali yake yote ilichukuliwa hakubaki na lolote wala chochote alijaribu kuomba lakini amuombe nani?. Alilala Mitaroni , pombe akanywa kama maji, dawa za kulevya akazirudia alibaki kuwa maskini hohehahe ambaye hana mbele wala nyuma. Alianza kuiba vityu vya wengine na kuuza ili apate kitu cha kukea mdomoni. Hii inatufunza kuwa mola akikubarikir usione wengine kama sio wa maana. Hii ndo maana wahenguzi hawakukosea waliponona kuwa mpanda ngazi hushuka.

Similar Posts