insha ya mti mkuu hukigwa wana wa ndege huyumba.
Maisha yalikuwa tamu mno. Mwisho wa mwaka 2019 mambo katika nchini ilikuwa sabamba. Biashara ilikuwa ikiendelea vizuri, pesa haikuwa shida kupata. Mimi ni mwanafunzi katika shuleni kuu ya kenyatta. Nasomea udaktari, ili niweze kusaidia kutibu watu wagonjwa katika jamii yangu na pia kupata pesa kusaidia familia yangu.
Baba alikuwa akilipa karo ya shule yangu enzi hizo alikuwa ameajiriwa katika serikali ambalo alikuwa sekretari wa mazingira katika ofisi za Nairobi. Magri yalikuwa ya kifahari, nilikuwa nikipelekwa na kuchukuliwa shuleni. Kile kimebaki ni kile baiskeli alioacha tukiwa watoto wachanga.
karo ya shule haikuwa shiuda kulipa. nilisoma kwa bidii za mchwa nikafika mwaka wa tatu, nikiwa shule kuu ya kenyatta. Zawadi nilizizopata kutoka kwa baba kwa bidii zangu yalikuwa yakushangaza yalikuwa yananipendeza mno.
Lakini homa huu kali ulipoingia, maisha ya watu yalikiuwa yamebadilika. Yalikuwa mgumu kwa wale walioshinda kupata pesa kupeleka nyumbani. serikali ya kenya na pande au sector ya afya waliungana pamoja na kupigana na homa huu kali.
Walihimiza biashara yafungwe usiku, uwanja wa ndege ya jkia isimamishwe na wanachi wapimwe kujua kuwa wakona homa huu. Na hatua kama hii ulichukuliwa kwa inchi zingine. kwa wale waliopata ugomjwa huu walipelekwa hospitalini na kuona vile watatibiwa, wengine walifariki kwa ugonjwa huu. Ilikuwa tishio kubwa kwenye nchi yetu na pia familia yetu.
Mama alipotezakazi na tegemea letu katika familia yetu ni baba. Ghafla bin vuu baba alishikwa na homa huu kali. Maswali yalinikumba akilini mwangu. Niliamka kuuza magari yake ndiposa ni jaribu kupata pesa ili alazwe kwa hospitali inayofaa.
Lakini haloi ya baba hayakuwa nzuri mno. Pesa hazikuwashinda ila tulifanya lolote lile lakini alikuwa akingojeka zaidi. Tarehe 2/2/20, ndipo baba alifariki. Ugonjwa huu ulimzidi, ikabidi mola amchukue. Moyoni wangu ilikuwa na machungu sana. Alizikwa na ikabaki mimi na mama.
mali ya baba na kampuni aliyohusika ulipewa mali yote kwamimi na mama. Mama amefanya juu chini kuweka familia yetu iwe shwari na mambo yanaendelea vizuri. Lakini fikra ya baba yangu bado iko kichwani mwangu. Tulihamia pahali tofauti na kuendelea na maisha yetu. Mama akilinda kampuni ya baba aliyojenga na mali iko kwa mikononi mwetu.
