Insha ya mwaliko wa harusi.

Sherehe ya harusi huwa ya kuuganisha mume na mke katika ndoa kwa mujibu wa mila au sheria. Kwenye kadi za mwaliko wa aina hii huwa na majina ya wazazi kutoka pande zote mbili.

mfano.

Familia ya bwana na Bibi Lukas kamtenyani.

Na

Familia ya bwana na Bi. Johana Birundi

wana furaha kuwaalika.

BW/BI/DKT/PRO.

Kwenye harusi ya mwanao Daudi chari kamteyani na Riziki mweru Birundu. Itakayofanyika tarehe 23/8/22 katika kanisa katoleki la mzetuni. saa nne asubuhi nahatimaye kwemye karamu papo hapo.

MUJIBU KWA

BW na BI Kamtenyani.

S.L.P 34560

KALOLENE.

BW NA BI JOHANA

BI rundu.

S.L.P 14345

ATHI RIVER.

Insha ya mwalio wa harusi part 2.

Familia ya bwana na Bibi shelkh udi mpanzi

na

Familia ya bwana na Bibi Amru mbali wanafuraha kuwalika.

BW/BI/DKT/PROF/.

kwenye akidi ya wanawao , BW Alizeti mpanzi na BI Aidye Amru. Nikama tafanika inshallah tarehe 22/09/22 katika msikiti wa zangazanga mshuko wa swala ya ijumaa. Tabaruku itafanyika nyumbani kwa bibi harusi baada ya ndoa.

MUJIBU KWA

Sheikh udi mpanzi

S.L.P 42.

LAMU.

au BW. AMRU MABLI

S.L.P 40.

ZANGAZANGA.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts