insha ya ratiba
Insha ya ratiba. Ratiba ni uandishi wa jirani mambo yanavyotarajiwa kufanyika kuonyesha pia wakati shughuli fulani itakuwa inafanyika.
Katika uandishu wa ratiba mambo yafauatayo huzingatiwa.
1. Kichwa/ mada/Anwani
Hutaja ni shughuli gani itakuwa ikifanyika, mahali na pia wakati.
2. Saa.
Huonyesha saa au wakati tukio fulani lintarajiwa kufanyika.
3. Tukio.
Huonyesha shughuli itakayokuwa ikifanyika wakati fulani.
RATIBA YA MCHEZO YA RIADHA WILAYANI KATIKA UWANJA MKUU WA SHULE YA UPILI ELIMU BORA TAREHE 11/12/2O22.
SAA TUKIO. |
10:00 – 10:30 Asubuhi | wachezaji kotoka shu zingine wana wasili Baadaye wanahitajika kujiunga na wachezaji wa shule yetu na kuanza kujiandaa. |
11:00 – 11:30 Asubuhi | Gwaride linalo andaliwa na wanafunzin wote na walimu pamoja mashabiki wahitaji kuudhuria wimbo wa taifa na maombi yanaongozwa na naibu mkuu wa shule ya Elimu bora. |
12:30 -1:30 Adhuhuri. | Wachezaji kujitosa uwanjani na michezo kuanziwa. Mchezo wa kwanza ni mchezo wa kandanda. |
2:20 – 3:20 adhuhuri | mchezo wa kukimbia. Wachezaji watajitosa uwanjani na kuanza mchezo wa kukimbia. Wachezaji watakimbia kilomita mia nne. |
2:20 – 3:20 adhuhuri | Michezo inakamilika. Wachezaji wanapata cha kutia kinywani na wanaelekea Mapumzikoni huku wakijiandaa kwa ajili ya kuaysuiza matokeo na kuzawadiwa. |
4:30 – 5:00 alasiri | Wanafunzi na walimu wanakusanyika tayari kuyapokea matokeo yao na kupewa zawadi. |
5:15 – 5:45 Alasiri | Mwalimu mkuu anatoa hotuba yake. Anawapongeza washindii. |
5:45 – 6:00 jioni. | Maombi ya kuzimaliza shughuli zote. Yanongozwa na mzazi mmoja Bi tuna. |
6: 10 jioni | Michezo imeisha na watu kufungukana kuenda kwa hiari yao. |
