Insha ya Resipe ya nyama ya watu wawili.
Resipe ya nyama ya watu wawili.
VIungo.
- Nyama lililokatwa kutoka dukani ( kilo2)
- Vitunguu vinne vilivyokatwakatwa.
- Nyanya (4) kutoka dukani na kuzikata.
- KItungu saumu (1).
- Chumvi (kiwango cha kijiko moja cha chai.)
- Mafuta ya kukaanga m.f Golde fry, kasuku.
Utaratibu.
- Osha nyama vizuri na maji safi.
- Chemsha nyanza kwa muda wa nusu saa.
- Tia kitunguu kweney sufuria, ongeza mafuta ya kukaanga kisha kwake sufuria kwenye moto.
- Pika kitungu hadi kibadilishe rangi, ongeza kitunguu saumu na kisha upike kwa dakika mbili
- Ongeza nyanya na uweke vipande vya nyama kwenye mchuzi.
- Weka chumvi ili kuongeza ladha. Pika kwa muda wa saa.
- Nyama yako uko tayari.
Mchuzihuu unaeza liwa kwa wali au chapati n.k.