insha ya ripoti kcse.

insha ya ripoti mfano wake.

RIPOTI KUHUSU CHAM CHA WANASKAUTI KUHUSU SHUGHULI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA MZIMA.

Utangulizi.

chama cha wanaskauti shuleni kikishirikiana na kingozi mkubwa wa wanaskauti tangu kikianzisha kipindi hiki shughuli amabazo tumekuwa tukizifanya kwa muda kufikia sasa hali au sababu iliyotuma kukianzisha chama hiki mojawapo ikiwa kuwasaidia watoto wasiojiweza walio katika vijumba vikuu vya kuwa hifadhi watoto ili kuwawezesha kujikimu kimapato.. Kiini ni kuchanga pesana kununua chakula na mavazi na kuwapelekea watoto hao.

Mawasiliano baina yetu na kiongozi mkubwa yalihusisha shughuli mbalimbali kama zifuatazo.

Makaribisho.

Mwenyekiti, winnie okkoch alifunga na maombi, na kutukaribisha sote kwenye mkutano na pia kutuomba tuchangie katika kongamano ili kupata suluhisho la kudumu.

Ripoti ya katibu.

katibu wa chama bwana dennis kioko alitoa ripoti kuhusu changamoto amabzo zinawakabidhi watoto wasiokuwa na wavyele yaani tuseme waliutupwa na wazaz wao. Isitoshe wengine wanapitia changamoto zinazowatuma kujiunga na matendo mabay ambapo wengine hujishughulisha na kutumia dawa za kulevya ne mengine mengi yanayo husisha wengi kewnda jongomeo.

Mjadala na maoni.

Baada ya ripoti ya katiba kutolewa maoni mbalimbali ya wanacham na mwenyekiti walitoa maoni kuhusu jinsi kumaliza ulizaji wa dawa za lukevya ambapo watoto wasijiweza wanhusishwa kwa kiasi kikubwa ili kuwwezesha kukimu mahitahi. Imarishwa miongoni mwa wanachma na wanfunzi. Aidha, walimu walitakiwa kushiriki katika kuchanga fedha ilil kuhitimu kiwangio tunacho kitarajia.

Hitimisho.

Ilihitimishwa kuwa kidole kimoja hakivunji chawa kwa hivyo kuungana mikono sote ili suluhisho hili litumie.

Kutokan na mjadala huu, ilidhirika wazi kuwa ina wezeka ijapo tutaungana sote mkono nakuchangia kwa kina kirefu masuala yote yanayohusiana na jambo hili na pia kupendekeza hatua nyingi ambazo tungefaa tuchukue ili kupata suluhusisho la kudumua.

Ripoti imetayarishwa na kuandikiwa na,

saini

lizz N. Njoroge.

Katibu.

Tarehe 16 sep 2028.

Similar Posts