Insha ya ripoti
Insha ya ripoti. Ni maelezo kuhusu myu, kitu au tukio. Huandikwa ili kuweka wazi mada husika kwa minajili ya kuwawezesha washikadau huchukua hatua.
– Mambo yanayopaswa kuzingatiwa wakati wa kuandikia ripoti.
1. Kichwa.
– Kiini cha ripoti.
– Kichwa hiki hundikwa kwa herufi kubwa.
2. Utangulizi.
– Hueleza ripoti inahusu nini. Usuli wa mambo.
3. Ripoti.
– inaweza kuwa na sehemu zifuatazo.
a. Mdhumuni.
b. Vichwa vidgovidog kuelezea mambo tofauti. Jambo hili hufanyika
ili anayesema aweze kujua mambo fulani linapatikana wapikwa maraka.
c. Mapendekezo hutolewa.
d. Hitimisho ya ripoti iwe na sahihi, jina na cheo cha aliyeandika.
– Kuna aina mbalimabali za ripoti
kama vile:
a. Ripoti kuhusu tamasha za
muziki katika
ngazi ya kitaifa.
b. Matokeo ya mitihani na mwaka wilayani.
c. Ripoti kuhusu michezo.
d. Ripoti kuhusu utafiti fulani.
Mfano wa ripoti.
RIPOTI YA KAMATI TEULE YA ELIMU NA MAENDELEO KUHUSU KUANZISHWA KWA SHULE MPYA, JUENI.
Utangulizi.
Elimu ni ufunguo wa maisha.
Yeyote anayejiunga na masomo
shuleni huwa na nafasi ya
kujimarisha maishani.
Elimu humwongoza mja popote pale
katika kukabiliwa na zake
ulimwenguni. Ni kutokana na umuhimu wa elimu
ndipo kamati
iliundwa ili kuanzisha shule ya upili ya
mseto katika mkasa ya
jueni.
Awali, mwanafunzi wengi chache za
mbali.
Kamati ilishirikisha wafuatao.
Mraibu miradi (Mbunge wa jioni) – mwenyekiti.
Mkuu wa elimu, jueni – katibu.
Junguu kuu mstaafu – mwekahazina.
Diwani, jueni – mwanakamati.
Afisa wa afya, jueni – mwanakamati.
Afisi wa kilimo, jueni – mwanakamati.
Afisa wa mazingira, jueni – mwanakamati.
Uwanja wa shule.
Kamati lilitembelea kata ya jueni na
kukutana na viongozi wa eneo hilo.
Uwanja wa nakamati kuni (10) ulikaa
tayari
umetegwa
kwa shughuli ya ujenzi wa shule
mpya ya sekondari.
Sekondari hiyo ilikuwa umetolewa
hutokana kwa
uwanja wa eka sitini
uliotengwa mahususi kwa shughuli
zozote
za kijamii kwenye kata.
Ujenzi.
Kwa kuwa wanajamii walielewa
muhimu wa elimu ,
mpango ulianzishwa na
watu mkazi alihitajika kutenga
siku moja kwa juma.
Ili kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa
madarasa,
ofisi ya mwalimu mkuu,
ofisi ya walimu na maabara moja ya
kisayansi.
Serikali ili iwe imetoa shilingi milioni
nne
kutumika katika awamu ya kwanza.
Mkuu wa elimu wilayani aliyeongoza
katika usimamizi wa ujenzi huo.
Walimu.
Wanakamati walijulishwa kwamba
serikali ingetuma
walimu watano katika kipindi cha
baada
ya majengo
kukamilika na wengine wanne katika
kipindi cha pili cha mwaka.
Usajili wa wanafunzi.
Kamati ilihakikishwa kuwawanafunzi
bora wa shule za msingi.