insha ya siku ambayo sitaisahau.

ulikuwa mwendo wa saa tatu jioni, mama alipoingia nyumbani huku uso wake ukionyesha furaha. Nikauliza nini inafanya yeye awe na furaha hivi. Mama aliniangalia na kusema keshi ni harusi ya mjomba wake. Mama alileta nguo zina na madoa kwake na kuniletea nguo nzuri ilyokuwa suti.

” shika nenda ujaribu uone kama inakutosha.” mama alisema. Nilivalia ngu hizo na kwa kweli ilinitosha. Mama alipendezwa kweli na nguo hili langu. ” Inakutosha vizuri.” mama alisema. lakini usiku nilikuwa na uchovu na nilitaka kulala mapema ili siku ijao niwe tayari kuenda kwa hili harusi mama alionialisha.

Siku ijao ulifika, niliamka asubuhi baada ya jangwa kuwika. Ilikuwa asubuhi na mapema na kuenda bafuni kuogelea baridi shadidi. Nilipomaliza, nilienda kuvaa nguo yangu niliyopewa na Mama nivae. Nilipomaliza kuiva Mama alikuwa amevalia nguo ilikuwa nzuri ya kuvutia. Mama aliiponiona alijawa na furaha mpwitompwito.

Katika sebuleni Mimi na Mama tulichukua kiamsha kinywa. kwa dakika kidogo niliskia vigelegele inje, kuenda kuona ilikuwa akina Mama wakiimba nyimbo nzuri na lupiga densi.

Niliona mjomba wabgu akialisha mimi na Mama tupelekwe kwa gari Mercedez benz lililokuwa jekundu kama damu. Nilingia kwenye garil hilo tuka Ngoa’ nanga kuenda kanisani. Tulipofika kanisani, kasisi alikuwa akihubiri neno la na kuuliza swali ambayo inaweza kufanya mtu awe na wasiwasi. ” kuna mtu yeyote anayepinga ndoa ya hawa wawili.”

Mara ya kwanza ilikuwa kimya. Kasisi akauliza tena ” kuna mtu yeyote anayepinga ndoa ya hawa wawili.” Ghafla bin vuu sauti ya mama moja ilisikika kwa mlango wa kanisa akisema ” mimi.” kila mtu aliangalia nyuma na kuona mama moja akishikilia watoto wawili akitembea pole pole kuelekea mbele ya kanisa. Bibi harusi alikuwa kwa mshagao.

Mama huyu alikuwa mbele ya kanisa pamoja na watoto wake na kusema,”Kwa majina ni Mama stacey au mama kiarie ukipenda unaweza tumia jina yoyote, na huyu bwana harusi anayeolewa hapa mbaeleni baba wa watoto wangu na nina karatasi ya ndoa yetu.” Kanisa mzima ulikuwa kwa mshangao. Bibi harusi alitembea kwa kasi na kutoka inje ya kanisa hapa machozi yakitirirka kwa uso wake.

Kila mtu alitoka kwa kanisa hilo ila mama alienda kuongea na Bibi harusi, kwa vile skujua ninani anaolewa na nani lakini nilichukuwa muda kujua kwamba huyu Bibi harusi ni rafiki wa Mama yangu. Matokeo kama huu haikuafurahisha Mama. Jioni hio tulienda nyumbani na hatukuamini kile kilichofanyika. Lakini siku hio ni siku ambayo sitaisahau.

Similar Posts