Insha ya Siku yangu ya kwanza katika shule ya upili.

EVERYTHING ON JUMIA

Siku yangu ya kwanza katika shule ya upili.

Ilikuwa asubuhi ya mapema ambapo nilikuwa nikiamka, jogoo iliwika na nikaona jua liking’aa juu angani, nilijua ni siku mpya ya furaha.

Nilijitayarisha kwa kuenda katika chumba cha kuoga nani ka sitaki uchafu kwa sabuni, ni toka huku ni kiwa msafi kweli kweli. Nilienda katika chumba changu na kujitayarisha, mama yangu aliniambia ya kuamba nita kuwa nikienda katika shule ya upili kwa kidato cha kwanza, nilikuwa na uoga kidogo lakini nilijikaza kimwanaume.

Nilitayarisha tayari kupinga  kwaheri kwa familia yangu, mama alikuwa ameniandalia chamcha mzuri sana. Ilikuwa ya kupendeza sana, niliwaambia kwaheri na nikaendea na baba yangu kuelekea shuleni.

Tulipanda gari letu na kuenda zetu shuleni, tulienda takribani masa tano na kufika shuleni tulipata walimu, wanafunzi, watu wakazi na wageni pia katika shule.

Tulienda kwa maofisi za shule hio na kupata wako tayari na sisi, tulipatiiwa nambari zetu na kujiasajili na tuka ngoja maoni za, tuliangana na baba yangu kwaheri na nikamuona akitoka mlangoni kuchukua gari na kuondoka.

Nilikimbia chooni kwa kulia huku mawazo yangu ilikuwa nyumbani tu, wazazi wangu, na pia marafiki wangu huko nyumbani, nilijikaza na kwenda katika walimu kuko nao.

Kiranja wa shule aliambiwa ya kwamba atusaidie kubeba sanduku, mateso na besheni na ndoo hadi huko sebuleni. Tuliteremka na kuweka kitanda changu huko na kupumzika. “ sita  wa sababu siku yangu ya kwanza katika shule ya upili.”

Similar Posts