Insha ya siku za mwizi ni arobaini.

Siyawezi kusahau kile tulichofanya mimi na wenzangu. Nilikijuwa na huzuni mno kwani kile nimepitia ni maisha magumu mno. Ningaliskia nisingalifungwa maishani katika gerezani hii. Niliomba mungu msamaha kwa kosa nilichofanya.

Naikumbuka hiyo wiki kama jana. Mimi na wenzangu tulikiubali kuiba gari hapa tukiwa na mkutano kufikiria vile tutaifanya. Kila mtu alikuwa na kazi yake. Nilikuwa na onyo kutoka kwa kwa wazazi wabgu kwanba nisiwe mwizi lakini sikujali kwani sikujua kwamba asiyesikia la mkuu huvinjika guu.

Vituko tuliyonayo yalikuwa ajabu sana. Tulikuwa tukiiba usiku na mchan hapa tulijiita genge wa wakali. Tuliitwa simba kwani tuliogopa nani?. Hakuna. Sisi ni wale wale tutaiiba wapende wasipende.

Lakini hatukujua siku yetu itafika kwa kweli wahenga hawakukosea kwamba siku za mwizi ni arobaini. Kwa kweli siku hiyo ilifika. Mimi na wenzabgu tulijitayarisha kuiba gari hapa tukijua kwamba rangi la gari hilo ni jeusi tititi. Mtu mmoja alitangulia kulala barabarani ili gari lisimame. Mwingine alikuwa anatupigia ili atuambie kwamba gari limetokea au la.

Alitupigia akisema kwamba mwenye hilo gari alikuwa amelewa chakari na ashatoka. Tulingojea kwa hamu na ghamu kuona gari hilo.

Gari hilo lilipotokea , lilisimama kwa muda wa dakika kidogo, polisi walitokea na nilitoka shoti ili nisishikwe, kwani sikuwa na bahati na nikategwa na kufungwa kwa pingu.

Tulishikwa pamoja na wenzangu na ilikuwa kila ntu pekee yake Mungu kwa wote. Moyo wangu ulidunda ndu ndu na nywele ilitimka tim tim kama kondoo mwenye manyoya haba.

Tuliingizwa kwa karadinga na kupelekwa gerezani. Kutoka hapo tulienda mahakamani na tulifungwa maisha. Kutoka siku hiyo tabia zangu zilibadilika kwani nilikuwa mkaidi kama mkia wa kondoo. Nilielewa ndipo nikamua kwamba, wizi haumfai mtu yeyote.

Rank this insha in the comment section.

Similar Posts