Insha ya taarifa.

Wiki hii imekuwa na visa vingi vya kuajabisha, kahuzunisha na vingine vya kukata tamaa.

Kisa kimoja nkimetokea katika kijiji cha umoja ambapo jizee la miaka themanini aligeuaka na kuwa hayawani alipo mgeukia mjukuu wake na kumchinja huku kisa na maana alichukua manati yake na kwenda kuwinda. Kweli huu ni ungwana ?.mbona tuwe waja wenye hasira za mkizi?.

Katika kijiji hicho wana kitongoji walishambulia na kumuacha karika hali ya mauti. katika wikiw hiyo katika kitongoji cha penda paliondokea baba mzee nakugeuka kuwa paka mzee kunywa maziwa ya mtoto mchanga. Ilikuwa nijioni moja ambapo paka huyu mzee alinyatia maziwa ya mtoto huyu akiwa malishono baada ya kitondo hicho cha unyama alimchoma kisu na kumrusha kwenye kidibusi cha maji.

Wanakijiji wanaomba usaidizi kwa serekali ili iweze kuwa shughulikia kuzuia vitendo hivi. Kabla sijamaliza sitasahau kuwa pasha yaliyotokea shimo ukweli. Mtaa huo mliondokea mtoto aliyezaliwa na meno yote anayejua kuketi na alaye githeri.

Similar Posts