Insha ya tajriba yangu ya maisha.
Kukopolewa na siku za mwanzo za uhai wangu ni mambo yaliyotokea mfano wa kitendawili au hii hoja ambacho wakunga na wakungazi wa hospitali ya pumwani wavumilia kwa siku na miaka. Husisimuwa kuwa siku na miaka nilpowa kijusi nilitoka kutoka sio kwamba nilikuwa mgonjwa. Daktari alisema ilimbidi mama alikuwa buheri wa afya ili nilipani ktika tu.
Sikukubali kutimiza lisa kamili miezi mitatu baadaye nilikubaliwa kuona kukawa na masharti ilinibidi kukaa hospitalini kwa kuwa ilisemekana niliona dinia kabla ya siku zangu, kadi yangu ya kliniki huonyesha nilikuwa na hizani ya kilo kimoja tu nilipokopaewa siamini tayu waliyonipimia wakati ule! au ya sasa inayoniambia nina kilo tisini ndiyo iliyo na kasoro?.
Nilipokuwa kitoto mbaa mbaa hata ubwabwa haujanitoka kifuani nilipenda sana kusikiliza siasa katika kiredio alichojaliwa kununua baba. Nikiwa mkembe wa miaka sita la katika darasa la kwanza mwalimu wetu alipenda kunita “mwanasiasa.” kwa kuwa vile aliponikuta akinipiga kelele darasani nilikuwa nikiwa hutubia wezangu kama rais. Si kujua nilikuwa nikiwa hutubia wezangu kama rais. Si kujua nilikuwa nikiichochea ari yangu ya kuwa mwanasiasa.
Nilipotimiza umri wa mwana mkembe baleghe nilihisi mchemke halisi wa siasa, nika azimia kuwa mwanasiasa zilizonitia kinyezi kuu mipngoni mwanzo zilzikuwa ghiliba kwa wanachi ukinitimba ufisadi ukabila uchanganishi na taasubi ya ukuu. Ifadhi hizi zilizoa chokocho si haba miongoni mwana wanachi karibu ziyajinue macho yangu ya kuwa mwanasiasa. Niliyochukia matokea ya machafu haya yaliyozigubika akili za baadhi ya wanasiasa. Azima ya kuyarekebisha maovu haya katika jamii ilipigania miereta na mawzo pizani hatimaye umma ikashinda.
Nilihitimu kwa shahada ya sayansi ya siasa nikiwa na mika ishirini na mitatu chuo ni nilikuwa kiongozi wa chama cha wanafunzi na masomo nani kaibuka kuwa mwanafunzi bora. Niliambia wenzangu kuwa siasa zangu zingefululiza moja kwa moja hadi uchaguzi wa kiti cha ubunge wengine walkinipigia stahizai ila siku kosa kadha wa kunipa motisha.
hayawi hayawi huwa mwaka mmoja baadaye ulikuwa mwaka wa uchaguzi nchini yake yalikuwa marefu sana moto au wakati mwingine wa mzizimo ilinibidi niyaonge. Niliteuliwa kuwania kiti kile kwa tikiti ya chama chetu. Uchaguzi mkuu ulipojiri mpinzani wangu watriba hakuumbwa hata nusu ya kura zangu. Matokeo yalipotangazwa sikuamini maskini yangu nikaingia mbungeni nikiwa na umri wa miaka ishirini na mitano unusu na kuwa mbunge mchanga zaidi ya wote.
Huu ni mwaka wa nne tangu uchaguzi huo. Nina mwanana na mahaka na watu wa eneo bunge langu lililopiga si haba kwa kutumia hazina ya ustawishaji wa maeneo bunge yaani C.D.F zahanati kadha zimejengwa dawa sio shida tena. Karibu kila mwananchi sasa anachota maji kwenye bilula.
Tumekarabati baraste nyingi. Tumeanzisha miradi mingi ya elimu nazo takwimu zaonyesha kuwa tarifa yetu ilikuwa na wanafunzi watano miongoni mwa mia moja bora katika mtihani wa kitaifa wa shule za msingi usalama na undugu vimeshamiri. Zaraa imestawi lengo langu ni kuona kuwa eneo bunge letu limekua la kuigwa.
Bungeni mimi huchangia si haba katika miswada na mijadala inayozuka. Mafisadi nchini wakiwamo baadhi ya wabunge walio na hulua hii ya kuchukiza hawana nafasi mbele yangu nahisi kuwa nimechukuwa sura ya kiongozi wa kitaifa, sio wa tarafu tu.
Kila siku ninatembelewa na wananchi wengi wanaonishawishi niwanie kiti cha urais katika uchanguzi ujao. Wa kutoka sehemu nyingi nchini wamekuwa wakanipigia simu au hata kutaoa taarifa kupitia vyombo vya habari kuwa wangependa niwe rais wa nchi hii tukufu ninayopiga darubini mawazo hayo. Sina tabia ya kuwavunja mioyo wanachi. Sifa na shukrani kwa yote zimwendee mterehemezi mfani kisheji wa kesho.