Insha ya teknolojia.
Teknolojia imeleta vitu vipya kama simu,Tarakilishi na vinginevyo. Teknolojia imesaidia kila mtu na kila mahali. Vitabu sana, maisha hayakuwa rahisi. Watu walikuwa wakitembea Kwa miguu wakienda kusafiri mbali sana. Pia walikuwa wanatembea Kwa miguu tupu kila mahali. Watoto sana sana kusoma , walisoma Kwa shule zilizoporomika au Haina mjengo wowote.
Hizo siku za kale au zamani, madakatari hawakuwa wakitibu wagonjwa huku Afrika. Ndio siku moja, huko marekani watu walisoma Kwa bidii sana na kujenga magari yaliyopendeza siku hizo. Mwingine akatengeneza simu uliokuwa unatumia kupigia watu kama familia zetu za Leo.
Wengine walikuja Kenya kueafunza watoto wasome ili wawe Madaktari na walimu na kadhalika. Ndio maana Leo teknolojia imekuwa muhimu sana. Leo, tuna watu wale ni Madaktari,walimu na kadhalika. Kwa njia za teknolojia, wagonjwa Leo wanatibiwa huku ili watu wasikaye kamba Kwa magonjwa yaliyokuwa siku za kale na yalikuwa yanaonekana kwamba hakuna tiba.
Leo walimu wanasaidia wanafuzi wait Kwa kuitumia mbinu za teknolojia kama vile kompyuta kuyaelewa masomo zaidi Kwa mwanafunzi. Pia yanasaidi wanafunzi kujua jinsi ya kusoma na kuandika.
Televisheni, imekuwa ikifurahisha kila mtu nyumbani wanapoona kama vile vibonzo. Pia redio imetusaidia kujua kile kinafanyika kila mahali katika nchi yetu ya Kenya.
Simu Leo inatumiwa kuongea na kuandika meseji Kwa mtu yeyote. Simu pia inatumiwa kuingia intaneti iliyo saidia kutafuta kila kitu unachotaka. Simu unaweza kuangalia video itakayokufurahisha mpwitopwito.
Lakini pia teknolojia inatumiwa vizuri na pia vibaya. Kama siku za Leo , kw televisheni Kuna nyimbo yanayochangisha Kwa kuitumia dawa za kulevya na pia tabia ambazo za ajabu yanayofanya watu kuona kuwa haya ni maisha ya starehe. Watu wanalewa chakari na kuaga Dunia kwasababu la jambo za hziz vitu tunayaona Kwa simu na pia televisheni. Na ndio maana tuyatumie teknolojia Kwa vizuri ipasavyo , na kufuata maagizo yaliyopewa kujali maisha yako.