Insha ya wasifu kazi.
Insha ya wasifu kazi. Insha ya wasifukazi una muundo wake unaofwatiliwa. Mfano wa wasifukazi huundwa hivi. Nitatumia jina la rafiki yangu James andrew.

JINA: james andrew.
ANWANI: S.L.P 008, NAIROBI.
SIMU: 0712345678.
UMRI; Miaka 25.
Jinsi : Mume.
Uraia: Mkenya.
Kitambulisho: 388/08.
Elimu.
CHUO: 2018 – 2021 – Chuo kikuu cha kenyatta shahada ya udaktari.
UPILI : 2016 – 2018 – shule ya upili ya alliance (K.C.S.E) Alama B-.
Msingi: 2004 – 2010 – shule ya msingi ya makutano Alama C.
Tajiriba.
Udaktari hospitali ya kenystts.
Shughuli za ziada.
Mdhamini – chanaa cha mdaktari.
Udakitari – Waziri wa afya.
WAREJELEWA.
1. BW. Mutahi kagwe,
S.L.P 0010,
Masii.
Rununu 0712345678.
2. Bw. Benson Mutura,
Mkuu wa jimbo la Nairobi,
Jimbo la Nairobi,
S.L.P 02841
Masii.
Rununu 12345678.
