Insha ya barua kwa mhariri.

Insha ya barua kwa mhariri.Ni Braua rasmi iandikwalo kwa mhariri wa gazeti fulani.Yeyote anaweza kuandika barua hii kwa lengo la kutoa maoni kuhusu swala fulani au kulalamikia swala ambalo limewaathiri wanafamii maswala kama ugaidi, ufisadi, njaa , uharibifu na uchafuzi wa mazingira.

crop author writing in notebook with feather at retro table
Photo by furkanfdemir on Pexels.com

Anayemwandikia mhariri Barua anaweza kupongeza kusifu kukashifu kwenye kutaadharisha au kutoa mapendekezo fulani yenye umuhimi kwa wanajamii.

Tanbihi:

1.    jambo analolishughulikia mwandishi liwe na uzito la kumfanya mhariri alichapishe gazetini.

2.    Mwandishi ajiepushe kutumia lugha ya matusi, ye heshima izinagatiwe kikamilifu.

3.    Barua inapochapishwa gazetini, anwani au jina la mwandishi ndilo tu hutokea mwishoni.

4.    Sehemu ya mtajo ( Kwa mahariri) kuwepo kwenye barua inayoandikiwa mhariri. Haitokei kwenye gazeti.

5.    Barua hii inaweza kuhaririwa na mhariri kabla ya kuchapishwa gazetini. Anawezana kuitelia hata kichwa.

6.    Inapochapishwa gazetini, anwani.

BLACK FRIDAY DEFACTO DEALS

Similar Posts