Lahaja za kiswahili – maana yake.
Lahaja za kiswahili – maana yake. Ni mbondo au kilugha cha lugha moja kuu yani jinsi wazingumzaji wa eneo fulani wa kijiografia au kundi la kisanii wanavyotumia lugha fulani.

Mifano ya lahaja.
1. Kiunguja – Hutokea kisiwa cha ungunja au zanzibar huendelezaji wa maneno wa kiswahili sanifu hufuata msingi wa kiunguja.
2. Kimvita – katika kisiwa cha mombasa au mvita ina sifa za kiamu sauti ‘t’ inachukua nafasi ya sauti ‘ch’ katika kiswahili sanifu mfano:
Kuuita badala ya kuficha.
Malezo badala ya Machezo.
Mtanga badala ya Mchango.
Mlele badala ya mchele.
3. Chijomuu – Hutokea maeno ya pembeni ya mji wa mombasa, maneno huanza kwa sauti ‘ki’ badala ya ‘ch’ mfano.
Chijomuu badala ya kijomuu.
Chioo badala ya kioo.
Chijana badala ya kijana.
Chichi badala ya kiki.
4. Kiamu – katika kisiwa cha lamu sauti ‘t’ badala ya ‘ch’ sauti ‘ga’ na ‘la’ hutumika.
Nyele badala ya nywele.
Mbee badala ya mbele.
Mbeu badala ya beu.
Pia sauti `d’ badala ya `zi’ inaweza tumika.
Kwanda kwanza
Mwalo mwanzo.
5. Kimurima – katika maeneo ya wanda tanga, rufiji, ‘l’ hutumika badala ya ‘i’.
Balua badala ya barua.
Kalama badala ya karama.
Bule badala ya bure.
6. Kiuumba – katika sehemu ya unga na wasihi ( kusini mombasa ). Sauti ‘r’ badala ya ‘t’ hutumika. Mfano.
Mroro badala ya mtoto.
Mro badala ya mto.
7. Kitikua – Tokea sehemu za dhara kaskazini mwa kisiwa cha amu , lamu katika maeneo kama Rasini, Tundwa na kiunga. Sauti ‘t’ hutamkwa kama ‘ch’ sauti ‘ny’ hutamkwa bila sauti ‘y’ mfano:
Chachu badala ya tatu.
Chafuna badala ya tafuna.
Checha badala ya teta.
Neupe badala ya nyeupe.
Numba badala ya nyumbo.
6. Kipate – katika kisiwa cha pale sauti ‘the’ hutumiwa badala ya sauti ‘z’ dh na ‘v’ mfano.
Baratha badala ya baraza.
Thijana badala ya vijana.
Uthia badala ya udhia.
8. Kimgao –hutokea sehemu za kilwa sauti ya ‘k’ huwa sauti ‘l’ kwa mfano.
Tajili badala ya tajiri.
Kajili badala ya kadiri.
Bila badala ya biro.
9. kisiu – kutokea kisiwa cha si u karibu na pale la fuza. Sauti ch hutumiwa ya mfano.
Chutatwenda badala ta tutakwenda.
Mchu badala ya mtu.
Kuchuma badala ya kutuma.
10. Kingazwa – Hutokea katika kisiwa cha la sija au komoro – hutumia kiswahili sanifu L.
11. kimtabga’ta – hutoka eneo la mlima pangani na lanya. Hutumia lahaja za kivita na kichongo.
12. Kihadhimu/kitumbatu – hutokea uguja na eneo ya makundochi au kikae. Hutumia kiswahili snifu na pia kipemba.
Asanteni