Maana ya insha

Maana ya insha. insha ni mtungo ambao huundiwa kwa mfululizo wa sentensi zilioandikwa na zinazungumzia jambo, tukio au kitu fulani.

Muundo wa insha.

A. Kichwa/anwani.

–        kichwa huzingatia wazo kuu ya insha.

–        Ni vizuri ikiwa kichwa hiki hakizidii maneno sita.

B. Utangulizi/mwanzo.

    – Hii ni sehemu inayotanguliza kweneye jambo linalozungumziwa.

    – Utangulizi huu huwa aya moja tu na isiyoukuwa ndefu.

C. Mwili/Kiini.

–        Hii ndiyo sehemu kuu ya insha.

–        Ni katika sehemu ambapo wazo kuu huendelezwa.

–        Kila wazo hujitokea katika wazo yake.

D. Hitimisho.

–        Hii ndiyo sehemu kuu ya insha.

–        Ni katika sehemu ambapo wazo kuu huendelezwa.

–        Inatoa muhtasari na msisitizo wa jambo lilozungumzia.

–        Ikiwa ni insha ya kusimulia kwa au tukio. Sehemu hii huonyesha jinsi kisa au tukio hilo lilivyoisha.

Sifa za insha (importance of insha).

1. inazingatia kichwa cha habari inayotakiwa.

2. Ina utangulizi unaomvutia msomaji.

3. imetumia alama za kuakifisha k.m vituo, viulizi.

4. Yenye mwisho mzuri wa kumweka msomaji.

Similar Posts