Mfano wa Insha ya nukulishi

Insha ya nukulishi.

Andika nikulishi kwa rafiki yako ukimwarifu ahudhurie kongamano la kiswahili shuleni mwenu.

1 FEBRARI 21 MARA+254123456

                                                                      Masii

                                                                     SHULE YA UPI.

                                                                     S.L.P 1234

                                                                     Machakos.

SHULE YA ELIMU.

S.L.P 123456,

NAIROBI.

Bw. Eddor kerosi.

   Kuh: KONGAMANO LA KIASWAHILI.

Naichukua nafasi hii kukufahamisha kuwa kutakuwa na kongamano la kiswahili shuleni mwetu tarehe 17\02\2021 kutoka saa mbili asubuhi hadi saa kumi unusu jioni.

Ningependa kukufahamisha kuwa wewe ni mmoja kati ya waalikwa katika kongamano hili. Uwepo wako utakuwa wa maana sana. Natarajia kukuona.

Jacob marete.

Mwenye – kiti wa chama cha kiswahili.

Similar Posts