Mgagaa na upwa Hali wali mkavu insha 2021.

Mgagaa na upwa hali wali mkavu. Methali hii ina maana kuwa mtu anayejikaza kisabuni hakosi alichokitarajia mtu anapojitahidi katika jambo fulani huwa anapata mazao yake baada ya muda mfupi tu au baada ya muda usiotarajia. Hutumiwa kuhimiza aidha mwanafunzi ilil kutia bidii katika masomo yake ili kufanikiwa.

peaceful sea with rocky formations and sandy beach surrounded by hills
Photo by Lachlan Ross on Pexels.com

Yawezekana akapitia dhiki khadha lakini hilo halipaswi kuwa kizuizi katika maisha yake kwani anapaswa kujitia moyo na kuendelea na maisha yake. Katika kijiji cha lashi, palishi aila moja ambayo yalifedhesha nafsi yake kijana huyu mwanoni ulikuwa wembe kwani akuna yeyote aliyeweza kumpiku.

Alikuwa mtu kama maji ya mtungi. Mzee mwa’ngombe aliishi wakati wote akimhimiza mwanawe kutia fora katika masomo yake kwani maisha ya aila yake kwani maisha ya aila yake yalikuwa ya fedhehu kubwa. Walimu walimpenda kijana huyu kwa sababu ya hekima na bidii zake. Mtihani wake wa shuke ya msingi uliopita vizuri japo ya changamoto ulizozipata mle.

Wakati mwingine ilikuwa nadra sana kumpata shuleni kwa nadra sana kumpata shuleni kwa sababu ya kukosa karo. Aliwapivu wengi katika mtihani huo kwa maksi na juu sana. Kweli, mtegemea cha nduguyye hufa njaa kwan methali hii iligeuka kuwa ya kale sana alipopata mfadhili katika masomo yake. Makauri yalikuwa yale yale hakalegeza nia yake kwani alihuzimu kuwa daktari tajika.

Kilichombidisha ni fikra za ufukara uliokuwako pale kiamboni na nasaha aliyopewa na wavyele wake. Heri yake kujilikuwa kuwasadia wanafunzi wengine mle kijijini waliopita dhiki katika mwomo yao kwa kukosa deni ya kwalipia karo, kuwasaidia wanakijiji ili kuzika ufukara katika kubuni la sahau na la muhimukuwasaidia wavyele wake.

Wazazi wake walifurahi sana walipomwona mwanawe kwani hatimaya angefutilia machozi yao mbali. Alipofanya mtihani wake wa kidato cha nne, alitia ile nira na fora na kupi. Kijiji chote kilifurahi kumwona mwanawe amepita na kuonyeshwa televisheni. Uhusiano wake na jamii ilikuwa ya kufuna kwani ilikuwa nadra kwa sana kumkosea mtu yeyote yule.Liweza kuwashukuru walimu wake kwa mafunzo ya kufana na kuwaheshimu wote waliompa nasaha.

Sona aliendelea na masomo hadi chuo kiku alipohitimu rasmi kuwa daktari. Aliwarejea wavyele wake nyumba kubwa la kifhari lililoezekwa kwa vigae vyekundu. Aliwasaidia wanakiji na watoto kupata masomo yao vilivyona vinavyostahili. Hazimio yake ya kuwa daktari ilitimika na baadaye kuwa kiongozi fasika katika wizara ya malazi na huduma bora za matibabu nchini.

Similar Posts