mifano za insha ya mahojiano.

Wana habari tuko kwenye ofisini kuu ya waziri wa kilimo. Mahojiano ya leo ni ya jinsi tunaweza kukakibiliana na janga hili , njaa na kuhakikisha vile taifa lina chakula cha kutosha.

Mahojiano kuhusu namna bora ya kukabiliana njaa taifa letu.

woman wearing teal dress sitting on chair talking to man
Photo by Jopwell on Pexels.com

( wanahabari tuko kwenye ofisni kuu ya waziri wa kilimo. Mahojiano ya leo ni ya jinsi tunaeza kukabiliana na janga hili, njaa na kuhakikisha vile taifa itapata chakula cha kutosha.)

Mwaziri: ( Akitukaribisha kwenye ofisini kwa heshima zake) karibuni. Nimekaa nikiwangoja kutoka asubuhi.

Kuria: Asante sana waziri. Tumeishia kutoka kuja ili tuonge na wewe ndiposa tujuane na tusaidiane pahali tofauti. ( nikinyosha mkono.) wenzangu hapa ni wana habari kutoka citizen nipashe.

Mwaziri: karibuni, niwaweza keti chini.( wafanya kazi wakileta sharubati na maji mezani) karibuni maji. weze kusafisha koo zenyu.

Kuria: Asante. ( anafungua karatasi ambayo nilikuwa na kuitumia kumuliza maswali.) Tuanze kitu kilicho tuleta.

Mwaziri: haya basi.

Kuria : mheshimiwa, unapojua njaa sasa ni janga la taifa nchini. Tumekuja kungundua njia bora ya kukabiliana na janga hili ilikuhakikisha kuwa nchi ina chakula cha kutosha.

Mwaziri: Naam.( Akisafisha koo) kuwa rasmi, mimi ndiye waziri wa kilimo nchini na tunajaribu kila njia iwezekayo, ili watu waeze kupata chakula. Juzi tulikuwa upande wa mandera na tulitumia miliono kumi na miwili kupata chakula ili tuwape wakaaji hiyo. Na shukuru rais wetu kwa kupanda jambo kama hilo.

Kuria: Milioni kumi na miwili ni hela mingi sana. Kwa kweli wa kaaji wa mandera walifurahi. Mheshimiwa unaonaje mambo ya kupanda mimea au miti nchini kwa wingi ili kila mwananchi apate vyakula kwa bei inayofaa?.

Mwaziri: Hilo ni wazo juzi, … lakini ilikuwa imeanzishwa katika mji kadha kama vile laikipia na Nyandarua. Kwa vile ndio watu wanatarajia matakwa kama hizi kutoka kwetu lakini na himiza kuwa watu wenyewe kila mwananchi afanye juu chini kupanda mimea ama vile miti juu mazingira na tunaweza kufanya biashara na wakulima na kuelimisha na hayo yatachangia kubwa sana katika jamii letu.

Kuria: Natumai watu wataanza kupanda mimea na miti. Lakini maji je?.

Mwaziri: kuhusu maji, itachukuwa muda kidogo ilitueze kueka mifereji mingi kila mahali. Kwa hii mwaka, kila mahali kutokuwa na maji. Kufika mwisho wa mwaka huu.

Kuria: Tuna waomba sana mueze kutimiza wazo hil. (kuangalia saa) mheshimiwa mmaswali yameisha japo. Tumefurahi kwa maoni zake na tuashukuru kwa kutukaribisha.

Mwaziri: Karibuni sana. namkuje tena na tena, ofisi langu liko wazi.

Insha ya mahojiano kati ya mwanahabari na Almasi.

crop faceless multiethnic interviewer and job seeker going through interview
Photo by Alex Green on Pexels.com

wewe ni mwanahabri wa kituo cha runinga cha mwelekezi. Andika mahojiano kati yako na mtaalamu wa maadili kuhusu katika jamii ya sasa.

Mahojiano baina Almasi na mwana habari. ( mwanahabri akiwa ameketi kwenye kochi yake kwenye ofisi ya wanahabari. Ameketi huku akinywa chai akimsubiri Almasi afike. Kwa muda usiohusu kuku kumeza mahindi. Almasi anaingia huku akimtabasamu mwanahabari.)

Almasi : ( wakisalimiana kwa mkono ) uhali gani?

Mwanahabari: Njema sijui ya kwako?.

Almasi : Nimeshukuru kwa kunialika nije tuzungumzie maadili katika jamii ya kisasa. katika sekta hii ni wazo wengi ambao wamekuja kwenye ofisi yangu kupata ushauri dhidi ya maadili.

Mwanahabari : Ni matatizo yepi unayokumbata nayo?. na ni vipi unavyo yatatua?.

Almasi : waja wanapokuja kwenye ofisi kupata ushauri dhidi ya maadili, wanacho taraja kuskia hawasikii kamwe wanacho pata ni ukweli. Makasiriko ndi changamoto kubwa.

Mwanahabari:(huku akijishikatama hali ya huzuni inajionesha kwa uso wake.) heko kwa kazi yako.

Almasi : ( Akimzumgumzia mwanahabri huku akisimama na kujinyosha dhidi ya uchovu aliokuwanao badaa ya kuketi kwa muda mrefu.) katika ulimwengu wa kisasa na wa zamani ukilinganisha unapata maadili yamebadilika. Wazazi wetu kamwe hulka za wanawao.

Mwanahabari:( Aki onyesha hisia za huzuni.) wikiw jana tukio limetokea la kuhuzunisha sana Iwapo baba ataweza kumnyemelea mwana wake kumtendea unyama na hatimaye kumchoma kisu kumaliza.

Almasi : ( Akiinamisha kichwa na kutingisha.) hakika zamani vitendo kama hivi havikuwa na kama vingetendeka aliyetekeleza kitendo kama hicho aliukumiwa maisha ama pia ku uliwa kinyama.

Mwanahabari: Kitendo kama hicho kama mtaalam wa maadili hukumu ya mumba ni kama gani?. Na ili kitendo kama hiki kitendeke nini kiini?.

Almasi: Kwa wengine huwa ni matumizi ya dawa za kulevya. Haya pia ni maadili potovu kisa na maana maadili yangekuwa mema matumizi ya dawa za kulevya hakungekuwa na wanaotumia.

Mwanahabari: katika ofisi zenu kwao uwezo wa kuwa hudumia waja kama hao?.

Almasi: Ofisi kuna sekta tofauti za wanaotaka kuhutubwa. Pia wavyele wetu ndio wanao changia maadili kama hayo. Iwapo wataelewa mbele ya wanao.

Mwanahabari: wana wa kizazi kisasa hata heshima kwa wazazi wao hawana, hulka duni wamezidisha.

Almasi: Hivyo naomba tuwafunze wana wetu maadili kwa kuwapa mawaidha na kuwa kielelezo kwa wana wetu. Pia tujiunge na makundi yanayaofunza maadili mema. Pia ikiwezekana tujiunge na kanisa ilikurekebisha mienendo na hulka duni wamezidisha.

Mwanahabari: Nimefurahi kuwa nawe hapa kwenye kambi hii ana kwa ana kujadiliana swala hili la maadili katika jamii.

Almasi: Asante kwa kunialika kwenye kituo hiki. Iwapo mtahitaji kuwa nami mtanifahamisha . Barikiweni mno na mungu awalinde.

Mahojiano baina ya chifu na Bw elena.

Mahojiano baina ya chifu na Bw Elena kuhusu madhara na suluhu ya matumizi ya pombe miongoni mwa vijana katika eneo la mla Ngo’mbe ( Chifu ameketi chini ya kivulini cha mti kwenye ubao huku akisoma ameketi. Anapoinia macho anamwona Bw.Elena ambayo ni kiongozi kwa vijana amelingia katiak langu kuu.)

Elena: naam! hujambo bwana chifu?.

Chifu: sijambo labda wewe. karibuni uketi.

Elena: ( Akiketi ) asante sana . Leo nimekutembelea ili kujadiliana dakika matatu. Sijui kama utanipa muda.

Chifu: ( Akitabasamu.): bila shaka baa la unywaji au pombe imekita mzizi kate nchini kwa miaka dohari. Tunavyozungumza hivi utafiti unaonyesha kuwa zaidi ya asilimia sabini ya wananchi ni waraibu wa pombe iliyo haramu. Donda ndugu hili ambalo limwamba vijana mwao, linafanyiwa mjadala haba si haba ili angalau kupata suluhu yake. Japo hamna matokeo yoyote linatisha. Kukosa kwa kizazi kijachola kukata maini kabisa ni kuwa baa hili lina maafa mengi zaidi ya manufaa kulingana na ustadi. Ningependa unieleze madhara ya pombe miongoni mwa vijana.

Chifu: kwanza kabisa matumizi ya pombe tena si pombe pekee hadi afyani zozote zile kusabababisha madhara ya kiafya. Ugonjwa wa saratani amabo kwa wakati huu ume sara sara sana. Unapata chenzo kukubwa kutoka kwa video hili.

Elena:( Akitikisa kichwa.) unavyosema ni ukweli. Hata juzi mkurugenzi mkuu wa hospitali ya kenyatta amedhibitisha, haya isitoshe, tazama mkuu kwa ukurasa wa mbele wa gazeti, ulilio shika.

Chifu:( Akitisika kichwa.) si saratani tu bali pia maagonjwa mengine kama kiusukari na shimikizo la dawa. Yanayochochewa na vileo hivi. Baada ya haya unapata wako kule hospitalini. Si hayati.Si hamati wanachodai ni harambee ati pesa za matibabu baadaye za mazishi.

Elena: Ninakubaliana nawe kuwa baada ya ndwele hizi ni mauti vijana hawa kwa kukose kujua au kwa kujua wana bembea kwa vile ambavyo yanavyoelekea kukatiwa huko wakidai kuwa ati ni starehe.

Chifu: starehe ya nyani kuchezea haya bovu nazo ni starehe?.

Elena: Mzee, kwa kusoma kwamba ongeleko la visa vya uhalifu la kasi. LInapokea uchochezi mkubwa kutoka matumizi ya pombe ni kweli.

Chifu: ( akionyesha kukabiliana.) Naam hilo ni ukweli tutokana na ukunguni wa vijana hawa ni uwahinde kwani wanatumia njia zote ili kupata namna ya kuita vileo hivi.

Elena: ( akionyesha kusikitika.) kuna wale wanaotishia kuwatapeli watu mitaani. Wenyewe ukishawishi hawa tambulia wale hawasemezaki bado kesho utawapata.

Chifu: Wazazi wanabaki nyumbani wakiwa wameshika tama kwani wana waliowazana wanasaga wenyewe. Wanapatwa na magonjwa ya mioyo na mwishowe wanaipungia dunia mkono.

Elena: kuongezea serekali inafaa kuweka sheria tu, bali pia adhabu kali kupewa kwa wanaotumia pombe hii.

Chifu: ( akitikiza kichwa.) naam, wanaoitumia pombe na wapikao pombe hili wanafaa kupigwa viboko, kufungwa gerezani na hata wengine kufanyishwa kazi ya sulubu ili kubadili mienendo yao. Pia serekali inafaa kuongeza taasisi za marekebisho kwa waathiriwa.

Elena: vijana wanaojihusisha na unywaji huu haramu wanafaa kutenganishwa na mwana mwali kuenda ndengulani, anapoambiwa aonje anakata anaulumiwa anatafuta hiwi ufukwa, kama sisamaki. Niambie wewe utafanya nini?, wanao rekebishwa pia wanafaa waokeleaji ikiwa serikali itapandisha kodi ya pombe na kupiga marufuku kuzaji na matumizi yake?.

Chifu: Hiyo pia unaweza kuwa kwa suluhu wamshiriki katika utaguzi kwa upishi wa dawa hizi wanafaa kukamatwa na kutwa mbaroni kisha hukumu kali kuchukuliwa dhidi yao. Lasha hilo la kupandisha kodi mara dufu. Litawafanya vijana kukata tama ya kununua pombe hii kwani bei itakuwa ni ghali.

Elena: Bila shaka serikali kwa kufanya hivi, na ushirikizo wa vijana kwa umoja utaliokoa jahezi hilo la vijana. Lililozama katika bahari hii isiyo na ukingo wala ufuo. Naone ni kama nitakuaga kwa sasa, muda wangu, hapa umeyoyoma ila sasa na hitaji ruhusa yako.

Chifu: Haya basi safari njema yeye majaliwa mungu akuongezee karibu tena.

Elena: Asante sana kwaheri.

Similar Posts