Sifa za hotuba na maana yake.

sifa za hotuba na maana yake.
Ni maelezo yanayaotolewa na mtu mmoja mble ya watu wengi.

sifa za hotuba.
1.Hotuna hutokwa wakati maalum m.f sherehe, siku ya wazazi.
2.Huwasilishwa kwa nafsi ya kwanza.
3.Majina au vyeo vya walihohudhuria hutajwa kufuatana na cheo.
4.Kuendeleza kwa wakati uliopo.
5.Hotuba inaweza kuwasilishwa kwa niaba ya mwingine.
Vidokezo vya kutilia maanani.
1.Uteusi wa kichwa chenye hoja teshelezi.
2.Utumiaji alama za mtajo mwanzoni na mwishoni mwa insha.
3.Utangulizi wa hotuba ni muhimu uwe bayana.
4.Unaweza kuyadokeza mambo muhimu utakayo yazungumzia.
5.jikite katika maswala muhimu
pekee.
6.Lugha iwe ya ushawishi m.f
maswali ya balagha, mafumbo,
vidokezo, methali na udhalika ili
kuchanganyisha.
7. Lugha na msiamati ufungamane
na mada husika.
8. Angalia mahitaji ya wasikilizaji wao.
9.Kila hoja inayowasilisha katika hotuba ni lazima lieleweke kikamilifu.
10.Urefu sharti utiliwe maanani ( Maneno mia nne).
11.Mpangilio wa hoja sharti uwe kwenye mfululizo.
12. Hisia za hadhira ama anayetoa hotuba zisiandikiwe katika hotuba kama:
vicheko, kupiga makofi , vikohozi.
13.Tamati ya hutuba ni muhumu iwe
na mvuto.
14.Usikose kushukuru hadhira yake
kwa uvumilifu.
15.Hepuka makosa ya ujahi, sarufi.
16. Hati iwe nadhifu na kubwa
inayosomea kwa urahisi.