Maana ya Lakabu sifa na umuhimu zake

EVERYTHING ON JUMIA

Lakabu ni jima ya utani au kupanga mambo mtu au kitu fulani huitwa kutokana na sifa, maumbile, matendo au simamo fulani. Huwa ni jina la kusifu au kushafishwa ambalo jina hilo hupewa na watu wengine au kujipa.Kwa mfano.

1. Nyayo – Lakabu ya rais mstaafu moja.

2. Tinga – Lakabu ya mweshimiwa Raila odinga.

3. Fanya fujo uone – Lakabu ya vikosi cha askari ya kabililiana na gasia.Sifa za lakabu.

– Majina huwa ya kukashfia ama kusifia kejeli fulani k.m “ Antishower” mtu asiependa kuoga.

– Hutiwa chumvi au cheo kwa mfano – malika au professa.

– Huwa si njia halisi ya husika.

– Hutumiwa kitamaduni ili kueshimiwa jina la mu kwa mfano kadogo.

– Hutumiwa jina la siri.

– Wengi wa watunzi wa wimbo kwa jina lakabu.Umuhimu za lakabu.

– Hufahamisha sifa, wasifu , tabia za mtu au kitu.

– Husaidia mhusika kubadilika katika mienendo yake.

– Hutoa picha fulani kumhusu mhusika.

– Hutumiwa kuhifadhia siri za watumizi.

– Hutumia kuhifadhia historia yaliyokuwa umarifu katika jamii.

– Huimiza watu kuendelea kufanya mambo makubwa mazuri.

– Mfano mwingine la lakabu ni malenga wamvita, mwalimu julius nyerere, mfalme wa reggae (Bob marley), simba wa yuda(yesu kristo).Similar Posts