Vitanza ndimi ni maneno yanayotanganza wakati wakutamka hii ni kwasababu ya matamshi ya maneno yanayo karibiana mno. K.m –

1.Shirika la reli ya rwanda.

2.Libirigala bigiri bigiri ni la abiria wengi.

3.Kukosa si kosa kosa ni kurudia kosa.Sifa za vitanza ndimi.

– Ni sentensi zinazobeba maana kamili, hutumia maneno ya lugha sanifu. Sauti zinazotumiwa ni za kawaida ila inatumiwa sana katika maisha.

– Huimarisha stadi ya matamshi.

– Hujenga stadi ya umakinifu.

– Huifurahisha wanajamii.

– Hufikirisha wanajamii.

– Ni njia moja ya kujenga vijan ili kusuma wasemaji hodari/walumbi wa baadaye.Tanakali za sauti/onamatopea.

– Ni miigo ya milio au sauti za vitu, vitendo fulani k.m jiwe lilianguka majini chubwi!Umuhimu wa tanakali za sauti.

– Huleta dhana ya kusisitiza katika semi fulani.

– Hujenga picha ya kitendo kinachofanyika.

– Ni njia ya mojawapo ya kuwafanya watoto kujifahamisha mazingira yao.

– Ni mojawapo njia za kujifahamishia lugha.