Sms za kuchekesha.

Wadada bans utaskia oooh Mimi nataka mwanaume stake nilinda na kunijali…!! Alafu akitongozwa Na mlinzi anakata..!!

Sms

Mapenzi ni kama swimming pool ucjisumbue kutia nani aliogelea kabla yako, nani mnaogelea naye kwa wakati huo au nani ataoga ukitoka, wewe Enjoy kuogelea tu.

Sms.

Mume akiwa anakupa mizawadi kedekede unasema mahaba lakini kaka yako akifanya hivo kwa mkewe mnasema limbwata hivi mawifi aliewaruhusu kuvuta bhangi ninani?.

Sms.

Kumuacha mpenzi wako kids anachepuka ni sawa nakuhama nchi kisa mvua.. mvua ipo popote komaa nae uyo ni wako tyuu.

Sms.

Umeshawahi saidiwa homework Na mzazi halafu umapata zero?

Halpo ndio unajua shift siyo wewe.

Sms

Uliamua Dame pesa, mzazi start hawezi muuliza ametoa wapi lakini mpatie mimba, watakutafuta mpaka Na Google.

Sms.

Hakuna siku Mbaya kama siku unayopita the ya Manisa halafu unamsikia mchungaji anasimamia ” amini nawaambieni nje Luna sherwani anapita.

Sms.

Shida ya mwanamke mfupi ukirudi unajua kakufulia vizuri tu. Ila hajaanika.

Sms.

Ukimuona mtu wa kigoma ana kilo 70 ujue mwili una kilo 20, chalet za mwilini kilo 20, unaishi kilo 20 Na uchawi kilo 10

Sms.

Mke :baby nimeota umeninunulia cheni ya dhahabu.

Mume: rudi usingizini ukaivae.

Sms.

Similar Posts