• Natamani kusema I love you Kila unapokuwa Na mimi.
 • Hakikisha la mapenzi ….. Umengia moyoni mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana, wajua moyo huwa unafungunguliwa mara Moja hasa kwa Ile true love.
 • Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani ucheshi Na mahaba yako. Nifananishe Na nini? Kukata mfano wako hatotokea amini…
 • Macho yangu hutamani kukuona mdomo mwangu hutamani kuku busu mikono yangu hutamani kukutoa ipo mbali nami Ila mwili mwangu upo kwaajili yako mpenzi. I miss you.
 • Upendo si undege ukaonekana angani, upendo si tundra lichumwalo mtini, upendo si wimbo ningekuimbia , upendo si vazi ningekushonea, upendo si picha yangu ningekutumia Bali upendo ni thamani ukitoka moyoni mwangu nakuepnda Na kukutakia usiku mwema.
 • Wivu moyoni mwangu unaunguluma, kwasababu uko mbali nahisi naibiwa , usipo pokea simu yangu nahisi kunajambazi.
 • Mapenzi ni hisia zinazoumiza lakini hazichoshi.
 • Kusamehe ni mwanzo wa maisha.
 • Kuoa mwanamke mzuri sio kazi , kazi ni kumtunza mke wako aendele Kuwait mzuri kama ulivyo mtoa kwao.
 • Together forever.
 • Pendo lako ni sawa sawa Na dhahabu ya upendo pembezoni mwa bustani ya uaminifu, ujasiri Na uvumilivu katika maisha yeti ya kimapenzi.
 • I don’t know what I would do without you.