Swahili quotes about love, Broken heart, happiness, haters.
Hi and welcome to Middemb where today you are going to see Swahili quotes about love, life, happiness, haters, God, and many more also za kuchekesha. Most of them might be in Swahili form so if you really understand the Swahili language this one might be for you.
Well this Swahili might not be very Sanifu we tried to some of our best word to fix them for you so that you might not be very confused. Below are 50 Swahili quotes with its various different sub headings for you to check out. Hope you will love it feel free to share it with friend and family if you like more of these please comment.
Swahili quotes about love.
- Kama nyota zisivyo badilika; ndivyo yalivyo mapenzi yangu kwako.
- Nipendwapo napajua ndio maana napajali nidharauliwapo napatambua daima hukaa napo mbali sioni haja ya kunga’ang’ania mwenyewe asali.
- Asiyekupenda hana alama akishakutenda ndo utaisoma.
- Mapenzi inafaa kuonyeshwa kwa matendo si maneno tu.
- kila jambo na wakati wake.
- Penda tena usiogope kupenda tena sio kila mtu atakuumiza, Ila angalie tena maneno angalia matendo.
- Sitachoka kuwa mvumilivu.
- Mapenzi hayana mach ya kuona.
- Mapenzi ni kama maua kuna muda wa kuchanua na kusinya.
- Mapenzi ya dhati naamini bado yapo nikiyakosa kwako nina imani nitayapata kwa wenzako.
Swahili quotes about broken heart.
- Kuvunjika moyo ni vichekesho kwa kila mtu lakini mwenye amevunjika….
- Ni saa tu ndio inaweza kuponya moyo luvunjika.
- Moyo ulitengenezwa kuvunjwa.
- Ulimi haina mfupa lakini inaweza vunja moyo wa mtu.
- Uchungu utaenda, ukiachilia.
- Usipende na moyo yako yote, kila saa itaauma.
- Upendo haupotei.
- Inauuma kama jehanamu.Alafu siku moja, haifanyi hivyo.
- Kulia ni vile moyo wako inaongea, mdono yako ikiwa haiwezi kueleza uchungu unayohisi.
- Kitu cha kuchekesha ni kwamba moyo iliyovunjika si mbaya mno.
Swahili quotes za kuchekesha.
- Ujinga ni kuamini unapendwa, kumbe umegeuzwa spare tyre…. haya kaa usubiri mwaka wa pancha.
- Mapenzi yakinoga yanaweza kukufanya mpaka ukaropoka siri za nyumbani.
- Shida zingine ni za kujitakia tuu, kwanini ukule fare ya mkamba.
- Watu wanaficha 17 Billion kwa benki wewe ukificha “last seen” ya whatsapp.
- Leo najiskia nimeboeka… sijui niemnde kituo chs polisi niteremeshe bendera alafu nitoke mbio..
- Naskia Tanzania wanafunzwa chemistry kwa kiswahili utaskia mode anauliza taja njia mbili za kutoa kutu.
- Unapata dem mweusi kama makaa fani hivi ukisema umsimamishe umpepete vizuri anawakaa.
- silazimishangi uarfiki mimi ukjiskia kuchat na mimi ni poa tutachat… ukijiona wa ni diamond Mi ni alikibaa.
- Ugenini ni tabu sana yaani huwezi hata kulalamika njaa muda wa kula wanaamua wenyewe.
- Shida ya mwanamke mfupi ukirudi unakuta kakufulia vizuri tu, ila hajaanika.
Swahili quotes about life.
- Siyo kila wakati funzo la masiha ya mtu mwingine litafaa kutumika kurekebisha maisha yako kila mtu na alivyoandikiwa.
- Kulewa hakuondoi mawazo, labda kunahairisha mawazo kwa muda tu.
- Njia pekee ya kufanya kazi nzuri ni kupenda kazi yako. Kama hujapata kazi unayopenda, endelea kutafuta. Usiridhike.
- Maumivu hayazoleki hata ukuimizwa na watu mia siku akitokea mtu wa mia moja na akakuumiza unaweza kuumia zaidi ya wale mia.
- Hamna sehemu utakayokuta imeandikwa kanuni ya maisha hivyo ishi kulingana na mzingira na wakati.
- Huwezi kumsaidia kila mtu, lakini kila mtu anaweza kumsaidia mtu.
- Anza siku na nukuu mpya kwa mwaka mzima.
- Wanofanikiwa zaidi ni wale wanaoshindwa mara nyingi.
- Kama unahisi una maisha ya kujikweza sana na unajivunia na kulingia kitu kisicho leata tofauti yoyote ya kimaendeleo baina yako na mtu fulani( unapenda tu kutukuzwa, kuongoza na kuheshimika) amini nakuambaia umapotea na mara nyingi maendeleo utayaskia kwa wenzioutakuwa sio mtu wa kushauriwa na watu unaohisi ni wadogo kwako.
- Ubora wako haupimwi kwa maoni ya watu.
Swahili quotes about happiness.
- Uzuri iko kila mahali. wewe pekee unafaa kusngalia ndio uone.
- kile kinachoweza kupa furaha, nikuwa na raha na mtu uko naye.
- Kuwa na furaha haitawai isha mtindo wake.
- Hakuna njia kwenda kwa furaha, furaha ndio njia.
- Kila siku ni siku jipya.
- Hakuna dawa ina tiba kama furaha.
- Furaha ni mwelekeo si mahali.
- Furaha si kuhusu kupata kile unacho taka, ni kuhusu kufurahia kwa kile unacho.
- kuna sababu nyngi nzuri yakuwa na furaha.
- Furaha si pale inje, imo ndani yako.
Swahili quotes about haters.
- Kuweka chuki moyoni ni sawa na kushika mkaa wa moto mkononi ukiutupa maumivu hupungua na mwisho huisha kabisa.
- Ukitaka kutengeneza amani na adui yako, tengeneza naye urafiki. Kisha atakuwa rafiki yako.
- Chuki au pendo si kitu ni matokeao. Chuki ni matokeo ya kukosekana kwa upendo, na upendo ni matokeo ya kukosekana kwa chuki.
- Hata uwe mwema vipi siku zote jua kuwa yupo mtu anaekuchukia bila sababu yoyote.
- Mashinadno yasio na faida ni hasara kwa mshindi.
Swahili quotes about God.
- Usimwambie Mungu vile tufani yako ni kubwa, ila mwabie tufani vile Mungu wako ni Mkubwa.
- Mwenyezi mungu huwa anskia kile unchoomba….. kile sisi tungefaa kufanya ni kutulia jibu lake.
- Mpe mwenyezi mungu udhaifu wko na yeye atakupa nguvu zake.
- Kile mungu anafanya, anaifanya vizuri.
- kabla ya kuhukumu mtu yeyote. simama na ufikirie kuhusu vitu mungu amekusamehe.