32 Nukuu za afya yatakusaidia kujiboresha.
Afya ni kitu muhimu katika maisha ya binadamu. Vile tunakula, tunaishi inchangisha afya yetu katika maishani. Tuna nukuu muhimu sana si ya sawhili tu lakini kwa kiingereza ambapo unonyesha umuhimuw wakuwa na afya njema usiwe na magonjwa yanayoweza kuitishia maisha yako.