Insha ya barua na aina zake
Insha ya barua na aina zake. Ni maandishi yenye kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Zipo aina mbili.
Insha ya barua na aina zake. Ni maandishi yenye kutoka mtu mmoja hadi mwingine. Zipo aina mbili.
nsha ya barua za kadi au mialiko.Ni barua ambayo hupeleka taaarifa kwa mtu au kampuni au kikundi fulani kumuomba ahudhurie sherehe fulani kwa mfano:
Insha ya barua rasmi.Huandikiwa kwa mtu usiyo na uhusiano naye wa kirafiki au wa kindugu. Ni za aina nyingi
Insha ya resipe ni mtungo unaonyeshs utaratibu na hatua zinzazofuatwa katika utayarishaji wa mapishi. Mwandishi wa insha hii inahitajika kufuata mwongozo ufuatao.
Isimu jamii na umuhimu zake na maana. Isimu jamii – ni matumizi ya lugha katika miktadha mbalimbali. ( Jamii ) kama vile; sokoni, mahakamani, hospitals, shule, michezo, kwenye utafiti, hotelini, biashara n.k.
Insha – maana yake na umuhimu wake notes. Insha ni mtungo ambao huundiwa kwa mfululizo wa sentensi zilizoandikwa na zinazumgumzia jambo, tukio au kitu fulani.
Ni ushauri ambao unatolewa na mtu ili kuzingatia jambo fulani
Lakabu ni jima ya utani au kupanga mambo mtu au kitu fulani huitwa kutokana na sifa, maumbile, matendo au simamo fulani. Huwa ni jina la kusifu au kushafishwa ambalo jina hilo hupewa na watu wengine au kujipa.
Vitanza ndimi sifa na umihimu wa vitanza ndimi.
Ni maneno yanayotanganza wakati wakutamka hii ni kwasababu ya matamshi ya maneno yanayo karibiana mno. K.m –
1.Shirika la reli ya rwanda.
2.Libirigala bigiri bigiri ni la abiria wengi.
3.Kukosa si kosa kosa ni kurudia kosa.
Sifa za vitanza ndimi.
– Ni sentensi zinazobeba maana kamili, hutumia maneno ya lugha sanifu. Sauti zinazotumiwa ni za kawaida ila inatumiwa sana katika maisha.
– Huimarisha stadi ya matamshi.
– Hujenga stadi ya umakinifu.
– Huifurahisha wanajamii.
– Hufikirisha wanajamii.
– Ni njia moja ya kujenga vijan ili kusuma wasemaji hodari/walumbi wa baadaye.
Tanakali za sauti/onamatopea.
– Ni miigo ya milio au sauti za vitu, vitendo fulani k.m jiwe lilianguka majini chubwi!
Umuhimu wa tanakali za sauti.
– Huleta dhana ya kusisitiza katika semi fulani.
– Hujenga picha ya kitendo kinachofanyika.
– Ni njia ya mojawapo ya kuwafanya watoto kujifahamisha mazingira yao.
– Ni mojawapo njia za kujifahamishia lugha.