Aina za fasihi na maana yake
Fasihi ni sanaa ya lugha yaani ujumbe hupitishwa kwa njia ya kisanaa.
Fasihi ni sanaa ya lugha yaani ujumbe hupitishwa kwa njia ya kisanaa.
Lakabu ni jima ya utani au kupanga mambo mtu au kitu fulani huitwa kutokana na sifa, maumbile, matendo au simamo fulani. Huwa ni jina la kusifu au kushafishwa ambalo jina hilo hupewa na watu wengine au kujipa.
Vitanza ndimi sifa na umihimu wa vitanza ndimi.
Ni maneno yanayotanganza wakati wakutamka hii ni kwasababu ya matamshi ya maneno yanayo karibiana mno. K.m –
1.Shirika la reli ya rwanda.
2.Libirigala bigiri bigiri ni la abiria wengi.
3.Kukosa si kosa kosa ni kurudia kosa.
Sifa za vitanza ndimi.
– Ni sentensi zinazobeba maana kamili, hutumia maneno ya lugha sanifu. Sauti zinazotumiwa ni za kawaida ila inatumiwa sana katika maisha.
– Huimarisha stadi ya matamshi.
– Hujenga stadi ya umakinifu.
– Huifurahisha wanajamii.
– Hufikirisha wanajamii.
– Ni njia moja ya kujenga vijan ili kusuma wasemaji hodari/walumbi wa baadaye.
Tanakali za sauti/onamatopea.
– Ni miigo ya milio au sauti za vitu, vitendo fulani k.m jiwe lilianguka majini chubwi!
Umuhimu wa tanakali za sauti.
– Huleta dhana ya kusisitiza katika semi fulani.
– Hujenga picha ya kitendo kinachofanyika.
– Ni njia ya mojawapo ya kuwafanya watoto kujifahamisha mazingira yao.
– Ni mojawapo njia za kujifahamishia lugha.
Vitendawili ni fungu la maneno linalo na maana fiche mtu hutajika kufikiria ili maana kufumbuliwa.
nyimbo ni maneno yaliyopangwa kimziki.kuna kupanda na kushuka sauti katika mapigo
Methali na aina sita za methali.Methali ni kifungu cha maneno chenye maana fiche msaru imefichika kwa utumi wa tamathali na istiari.
Ndoto isiyotajika insha mfano. Nilikuwa nimekwisha kujitajarisha kwenda kulala mlango ulipobishwa, nilishtuka na kuketi sakafuni ni kwaza nani aliyekuwa alibisha mlango saa saba unusu usiku. Mtu huyo alibisha kwa nguvu huku akileta jina langu inijaribu kutambua sauti ila lakini wapi. Tulikuwa nyumbani na dada yangu na kaka yangu lakini wao walitwa washalala. Nilifikiria ni waamshe…
mfano wa Insha ya nukulishi
Siku yangu ya kwanza katika shule ya upili. Ilikuwa asubuhi ya mapema ambapo nilikuwa nikiamka, jogoo iliwika na nikaona jua liking’aa juu angani, nilijua ni siku mpya ya furaha. Nilijitayarisha kwa kuenda katika chumba cha kuoga nani ka sitaki uchafu kwa sabuni, ni toka huku ni kiwa msafi kweli kweli. Nilienda katika chumba changu na…
Mgagaa na upwa hali wali mkavu. Methali hii ina maana kuwa mtu anayejikaza kisabuni hakosi alichokitarajia mtu anapojitahidi katika jambo fulani huwa anapata mazao yake baada ya muda mfupi tu au baada ya muda usiotarajia. Hutumiwa kuhimiza aidha mwanafunzi ilil kutia bidii katika masomo yake ili kufanikiwa.