Hotuba ya mwalimu mkuu shuleni.
Hotuba ya mwalimu mkuu shuleni.Kwa naibu wangu, walimu wengine, washikadau waliopo, wazazi na wanafunzi
Hotuba ya mwalimu mkuu shuleni.Kwa naibu wangu, walimu wengine, washikadau waliopo, wazazi na wanafunzi
Insha ya mtaka cha mvunguni sharti ainame.
Methali hii inamaanisha kuwa lazima mtu atie bidii ili apate anachotarajia. Methali hii hutumika mtu anpopanga kuwa kitu fulani au kutenda
Insha ya mahojiano kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi. Meneja: Karibu ndani. Hujamnbo? Mwajiriwa: Asante. Sijambo. Meneja: Unaitwa nani? Mwajiriwa: Hassan Ali. Meneja: Kutoka wapi? Mwajiriwa: Kutika muranga. Meneja: ( Huku akisimama) ningependa kukutembeza huku ili ukujue sawsawa. Mwajiriwa: (Akisimama kwa kutabasamu) anamuuliza meneja mengi kuhusu kampuni hiyo. Meneja: (Akiashiria) hapa ndipo …
Insha ya mahojiano Kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi. Read More »
methali hii inatuonya kuwa haifai kuandamana na watu wenye tabia mbovu kwani huenda wakatuambukiza you wait na kuharibu tabia zetu nzuri.
Nilikuwa nimekwisha kujitayarishya kuenda kulala mlango ulipobishwa kwa nguvu. Nilijawa na hofu na maswali
Wanafunzi hamjambo?. Nina furahi sana kuona vile mlivyochangamka. siku hii ya leo ningependa tuzungumze juu ya vitu vitakavyotusaidia tufaulu maishani mwenu na pia kwa heshima yenu. Ninatarajia mniskize Kwa makini nataka kuwapa mawaidha machache kwanza. Ninawapongeza kwa bidii yenu mnavyotia katika masomo yenu. Tieni bidii vivyo hivyo msije mkajuta baadaye kwani, majuto ni jukumu huja …