As a student, mostly in school in need of calculators are agent and it sometimes can be stressful when getting them at a very high price especially when it is back to school season. While that happens here is an opportunity
Tag: #kccse

How to really pass your KCPE or KCSE exams as a student. To all students espceially who are in kenya, we are all personally or individaully as a student we face two of thse giants called KCPE and KCPE examinations which we must do it to get the next level of education.

Vitanza ndimi sifa na umihimu wa vitanza ndimi.
Ni maneno yanayotanganza wakati wakutamka hii ni kwasababu ya matamshi ya maneno yanayo karibiana mno. K.m –
1.Shirika la reli ya rwanda.
2.Libirigala bigiri bigiri ni la abiria wengi.
3.Kukosa si kosa kosa ni kurudia kosa.
Sifa za vitanza ndimi.
– Ni sentensi zinazobeba maana kamili, hutumia maneno ya lugha sanifu. Sauti zinazotumiwa ni za kawaida ila inatumiwa sana katika maisha.
– Huimarisha stadi ya matamshi.
– Hujenga stadi ya umakinifu.
– Huifurahisha wanajamii.
– Hufikirisha wanajamii.
– Ni njia moja ya kujenga vijan ili kusuma wasemaji hodari/walumbi wa baadaye.
Tanakali za sauti/onamatopea.
– Ni miigo ya milio au sauti za vitu, vitendo fulani k.m jiwe lilianguka majini chubwi!
Umuhimu wa tanakali za sauti.
– Huleta dhana ya kusisitiza katika semi fulani.
– Hujenga picha ya kitendo kinachofanyika.
– Ni njia ya mojawapo ya kuwafanya watoto kujifahamisha mazingira yao.
– Ni mojawapo njia za kujifahamishia lugha.

nyimbo ni maneno yaliyopangwa kimziki.kuna kupanda na kushuka sauti katika mapigo

Methali na aina sita za methali.Methali ni kifungu cha maneno chenye maana fiche msaru imefichika kwa utumi wa tamathali na istiari.

Ndoto isiyotajika insha mfano. Nilikuwa nimekwisha kujitajarisha kwenda kulala mlango ulipobishwa, nilishtuka na kuketi sakafuni ni kwaza nani aliyekuwa alibisha mlango saa saba unusu usiku.

mfano wa Insha ya nukulishi

Siku yangu ya kwanza katika shule ya upili. Ilikuwa asubuhi ya mapema ambapo nilikuwa nikiamka, jogoo iliwika na nikaona jua liking’aa juu angani, nilijua ni

Hotuba ya mwalimu mkuu shuleni.Kwa naibu wangu, walimu wengine, washikadau waliopo, wazazi na wanafunzi

Insha ya mtaka cha mvunguni sharti ainame.
Methali hii inamaanisha kuwa lazima mtu atie bidii ili apate anachotarajia. Methali hii hutumika mtu anpopanga kuwa kitu fulani au kutenda