Insha ya mahojiano Kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi.
Insha ya mahojiano kati ya meneja wa kampuni na mtu anayeomba kazi. Meneja: Karibu ndani. Hujamnbo? Mwajiriwa: Asante. Sijambo. Meneja: Unaitwa nani? Mwajiriwa: Hassan Ali. Meneja: Kutoka wapi? Mwajiriwa: Kutika muranga. Meneja: ( Huku akisimama) ningependa kukutembeza huku ili ukujue sawsawa. Mwajiriwa: (Akisimama kwa kutabasamu) anamuuliza meneja mengi kuhusu kampuni hiyo. Meneja: (Akiashiria) hapa ndipo…